Anyways, nitaitafuta taratibu and nitaiweka hapa. Ila ulisema. But sasa kama hata hupendi kulala na mtu inakuwaje ukiwa na huyo date? Manake nakumbuka vizuri ulisema unapenda kujinafasi kitandani. Huoni kama utakuwa humtendei haki date wako?

Alisema katu hataoa bana..............Ingawa anamega sana kisela
Lkn Nyani Ngabu inabidi na weye uweke angalau sifa zako kadhaa for those ladies...au?
U don't want to go to Tropez with a date that there is zero chemistry...
All the best ladies....
Hebu baeleze huyo Banyamulenge aelewe....la sivyo atatafuta jukwaa zima na hatapata kitu
Ok ngabu.... all the best! Ladies wenye interest kazi kwenu. Mi apa nnko na mfuko wa popcorn kama naangalia movie vile!
Omba radhi kwa kunipakazia na kuniwekea maneno mdomoni...
Samahani braza....
kwa vile tu sina vigezo unavyovitaka,ningekuwa navyo ningeenda all the way....namaanisha ningehakikisha tunakuwa na one night stand!!...na hizo nyodo zake wala nisingejali mie!!!!!!:target::target:
kwa vile tu sina vigezo unavyovitaka,ningekuwa navyo ningeenda all the way....namaanisha ningehakikisha tunakuwa na one night stand!!...na hizo nyodo zake wala nisingejali mie!!!!!!:target::target:
BOFabLO said:anyeweweseka hapa anaonekana!,nikufunze kuhusu research???wee kwa malipo gani?kufundisha zuzu kama wewe si bora nikajifungie na demu wangu tucheze kidali po..(hapa nacheka kwa nguvu sana..BWA HA HAAAAAAAA)
Pimpin' ain't easy, but somebody's gotta do it
duh.. NN.. I like ur still.. sasa.. hujasema kama watu wenye watu wao wasije maana unaweza kutuibia hivi hivi!
Sasa Kiranga watu watadhani huyo kwenye picha ndio mimi...