Jamani wana jamvi habari zenu dada zangu. pamoja wale kaka zangu ambao mmeingia hapa kwa bahati mbaya.
Weekend njema
Kuna mzungu mmoja yuko hapa maeneo ya hapa nyumbani vipi nikuunganishie...:eyebrows:So you are a PIMP ehh?
What's in it for you?
Kazi ipo, niache wanaume wetu wa kiafrica wamoto nikang'ang'ane na za baridi kama za frijini.
Dunia ina mambo!
nafikiri title ya thread ingekuwa kuwadi la kimatafa
Kuna mzungu mmoja yuko hapa maeneo ya hapa nyumbani vipi nikuunganishie...:eyebrows:
Hee kongosho kumbe demu naomba kampani yako
Kuna mzungu mmoja yuko hapa maeneo ya hapa nyumbani vipi nikuunganishie...:eyebrows:
nafikiri title ya thread ingekuwa KUWADI LA KIMATAFA
Mambo yake yakoje?
Khaaa. . kumbe mtu mwenyewe ndio hivyo?Mambo yake yako kiaina
linapokea posho ya kujikimu toka nchini kwake
haimalizi hata wiki 2 lishamaliza
linaanza kukopa
afu matatoo mwili mzima hadi nanii limeichora kobra