Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “
Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Assume mwanamke huyo kapata mimba. Hakuna mwanaume mzembe ataekubali huyo mtotoHili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “
Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Kwa mfano akipata mimba nan atakubali kizembe kuwa babaHili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “
Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Samahani Dada nifa Mimi SI mkongwe kwenye JF Kama wewe...ila kunasehemu nilipita sijui wapi....kunamtu alikusifia sana kuwa mahusiano yenu ni muruah kabisa...Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “
Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Dada Nifah Maumbile TU... Mwanamke eti Ni dhaifu... Mwanamke Ni wakiwa chini ya mwanaume .. mwanamke Ni wakumilikiwa..Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “
Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Unamaanisha?Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “
Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Kwaiyo hao wenye mmke mmoja ndo wasafi na hawana mahawara kibao..Mwanamme anayekuwa na wake zaidi ya mmoja ni fuska, period. Anatumia dini as kigezo na utashangaa mwanamme huyo huyo anakuwa na wanawake wawili lakini pia anamiliki na nyumba ndogo.
Hahaha!!...hio haiwezekani duniani kote maana mwanaume ameumbwa kumiliki na mwanamke ameumbwa kumilikiwa...mmiliki anabaki kuwa mmoja tu ila wamilikiwa wanaweza kuwa hata mia!Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “
Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Karibu.N
nimekupenda kama kweli ni wewe kweny picha
Wanawake wanne...Jamani Mimi hapanaAs long as Kuna uadilifu hakuna shida kabisa.
Heri mjuane mpo hata wanne wa halal kuliko uaminishwe upo mmoja kumbe Kuna wanawake wanakuchora tu nje huko ukipita
Hitifaki=itifaki!Comrade, unatafuta nini huku...??
Ebu zingatia hitifaki..🤓🤓
Sasa ukipata Mimba utampa Mwanaume yupi!? Au utajua aliyekujaza ni Mwanaume yupi Kati ya hao wawili!?Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “
Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Hii ni hatua nzuri, Pisi 4 za ukweli unajivinjari tu.Mapokeo ya waliotutangulia ndio tatizo, Christian tumeaminishwa na wazungu hatutakiwi kushare,kitu ambacho hakina uhalisia kwenye jamii zetu.... personally naona Bora kushare Kama waislam mnajuana,mnaheshimiana,watoto wanafahamiana fresh, kuliko huku kwetu kwenye Christianity kumejaa unafik mijitu inacheeeeeat utasema imelogwa,....kimbembe msibani watoto haooo