mbona unajua mengi kuhusu nyumba ndogo,na wewe ni nyumba ndogo ya mtu nini LOLS...nakutania....umesema kweli tupu, wengi wetu sijui kwa kujisahau ama majukumu mengi wanajikuta kny hili shimo la 'kushare' ingawa hawapendi....kila mtu afanye wajibu wake akitoka basi umshukuru mungu
No, haina maana kujisikia vibaya. These things happen. Hata wewe mwanaume unaweza kuwa na mzuka vibaya mno but ukifika pale jogoo kalala na hataki kusimama. How are you gonna fake that??
hakika sisi wanaume tunataka faraja , kuheshimiwa, kudhaminiwa na kupewa mapenzi ya kweli . tukikosa ndani ya ndoa hutafuta nje ya ndoa.
Wewe kwa mawazo yako mwanamke akiondoka kwa mwanaume inabidi adake mwanaume mwingine wa kuhamiamo? Kwa nini hudhani naweza kuendesha maisha bila kuhamia kwa mwanaume mwingine, ama kwa mwanaume mwingine kuhamia kwangu?
weeh bakia na praktikale zako hapo watu wanaishi maisha. Eating life with a big spoon hehehe
Bora wewe umekuwa positive about me, lol. Saa zingine mnanifanyaga nifeel guilty aisee. Im a good gal after all banaa, aaagh
Mokoyo, qudu ni kama asilimia kadhaa tu ya kukamilisha ndoa. Mwanamke akimpenda mtu na kumfeel haswa ukigusa tu anafika bila taabu. Ofcoz kuna siku chache za kiu, you know? Tatizo ni emotional satisfaction ndo inaharibu kila kitu. Kama hamtumii muda pamoja, hauonyeshi kumjali na kumthamini basi hapo utazidiwa hata na mwenye kibamia. Kuna mtu ana kibamia anajituma hadi anapendwa aisee, unaweza kuwa na binduki yako ak 49 na ukaachwa vile vile! Mjulie mwenzio na ucheze mziki wake.
[TABLE="width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]hivi kweli ikitokea ndoa zooote zikavunjwa na Mwenyezi Mungu,
halafu kila mtu akapewa option ya kuchagua mwenza upya kabisa!!
je, kwa hali hii ya sasa, kuna watakaorudiana kweli??
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
habari zenu wapendwa,
leo nimekaa na kufiikiria kwa nini kunakuwa na nyumba ndogo,kuna nini huko kinachotuzidi?? jibu nikapata wao ni wanawake km sie wanajua kucheza na jiografia ya MWANAUME................lets break it....mwanaume umpikie umfulie umpe papuchi non stop HAKUACHI ng'o lol.............hizo kazi za nyumbani unaweza kusaidiwa na housegal,ila sex ni wanaume wachache tunaweza kumudu appetite yao...hapo ndipo pa kufake it😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller: najua umechoka just fake ten minutes it will be over LOL...kwanza maumbile yetu hayaonyeshi km wanaume kuwa ume.dindisha ingawa kwa wataalam humdanganyi lol.......................jitahidini jamani msisambaratishe ndoa zenu:confused2::confused2::confused2:
Bora wewe umekuwa positive about me, lol. Saa zingine mnanifanyaga nifeel guilty aisee. Im a good gal after all banaa, aaagh
kwa hiyo option ni kufake kama unanifikisha, wkt hakuna kitu? lol...lile swala la kufunda wanawake lilikua la muhimu sana....wasichana wa kieleo mna mitazamo hafifu sana kuhusu ndoa...kiarahisi tu ukanzishe maisha yako...!!!!
nimemuelewa sana....content ya message yake ...ni kwamba sometimes sisi wanaume tunakuwa na hamu ya kusex...tumalize hamu lakini bila kuridhisha mke...so at that episodes mwanamke inabidi kuvumilia kidogo....wewe utakuwa na ushuhudakuna some episodes ukikutana na mwanaume anakua hajakufikisha mwisho....lakini mwanaume anakua ameridhika...so some hizo episodes ni kuvumilia kidogo....that's her message.....hakumaanisha kwamba ufake orgasim kila siku...mimi nimesoma na nimekaa sana na wanawake wasomi ila wengii nimechunguza na kuresearch ....KWELI kabisa nimeona WAMEKOSA elimu ya ASILI ya KUFUNDWA.....ndo maana hapa unakuta mwanamke anacoment kirahisi tu....naondoka tunaaachana.....!!!!! ni kukosa elimu ya unyago UNYAGO ...im talking real life hapa....siongei maisha ya tamthilia na vipindi vya kiriakwa hiyo option ni kufske ksms unsnifikisha, wkt hakuna kitu? lol
hata jando kwa wanaume ulikuwa muhimu sana
nimemuelewa sana....content ya message yake ...ni kwamba sometimes sisi wanaume tunakuwa na hamu ya kusex...tumalize hamu lakini bila kuridhisha mke...so at that episodes mwanamke inabidi kuvumilia kidogo....wewe utakuwa na ushuhudakuna some episodes ukikutana na mwanaume anakua hajakufikisha mwisho....lakini mwanaume anakua ameridhika...so some hizo episodes ni kuvumilia kidogo....that's her message.....hakumaanisha kwamba ufake orgasim kila siku...mimi nimesoma na nimekaa sana na wanawake wasomi ila wengii nimechunguza na kuresearch ....KWELI kabisa nimeona WAMEKOSA elimu ya ASILI ya KUFUNDWA.....ndo maana hapa unakuta mwanamke anacoment kirahisi tu....naondoka tunaaachana.....!!!!! ni kukosa elimu ya unyago UNYAGO ...im talking real life hapa....siongei maisha ya tamthilia na vipindi vya kiria
i agree that ndoa is about compromising... but we dont compromise by faking our orgasm, ni kujidanganya tu. maana nikifake, hata wewe me hautapata ule utamu unaotakiwa. natakiwa nifeel, nidischarge huko chini, niwe wet ila nawe upate faudu vizuri. na hiyo responsibility ya wanandoa wote wawili kwa pamoja, si jukumu la mke tu au mume tuHii thread imedhihirisha KE ndani ya JF waliochangia ni watu wenye calibre ipi. Michango nliyoisoma hapa inajustify kwanini rate ya divorce imeongezeka sana miaka ya hivi karibuni. In fact, hii topic imegusa kielement tu cha marriage life. Ndoa is about compromise (nisome vizuri: l dont mean sacrifice). No compromise no marriage. Hutaki, muulize mzazi wako.
....vinine mi naona hapo tumeelewana vzr bana....nyumba ndogo si mpango kabisa...na ukiona mwanaume anafurahia mambo ya nyumba ndogo...ujue anamapungufu kidogo....lakini pia imaney alimaanisha hizo episodes za siku moja moja kukamatana jikoni au kwenye banda la kuku fasta fasta zinatokea..na mwanamke mwenye hekima kama hujafika mwisho hujafikishwa una uchuna kidogo...maisha yanaenda....maana maana mwanaume anaridhika kila mara...lakini kuna some men EGO inabidi itimizwe....yaana mwanaume anaweza kumkamata mwanaume hata jikoni juu ya meza anampinda mwanamke....akimaliza anajisifu nimemshughulikia kweli(men ego) lakini kumbe mwanamke alikua anaemia tu....lakini episodes kama hizo zinaifanya ndoa iende....na kuna jinsi nyingi za mwanamme kumfanya mwanamke kuwa tayari kwa hilo tendo. sidhani kama atakataa iwapo utamuandaa vizuri. japo mara moja moja zaweza kutokea zile za chap chap. ila isiwe tabia kila kukimkuta unampiga mtama, ukiuliza kisa eti umeoa.
mwanamke kukwambia hajisikii/ amechoka haihalalishi wewe kuwa na nyumba ndogo. na kamwe sishauri mwanamke kusema "mwache tu, wanaume kuwa na nyumba ndogo ni kawaida". nasema si kawaida, kama mnataka kuwa na nyumba ndogo, kuna option rahisi tu, tuacheni nyumba kubwa muende mkaishi na hizo ndogo
]....vinine mi naona hapo tumeelewana vzr bana....nyumba ndogo si mpango kabisa...na ukiona mwanaume anafurahia mambo ya nyumba ndogo...ujue anamapungufu kidogo....lakini pia imaney alimaanisha hizo episodes za siku moja moja kukamatana jikoni au kwenye banda la kuku fasta fasta zinatokea..na mwanamke mwenye hekima kama hujafika mwisho au hujafikishwa una uchuna kidogo...maisha yanaendeleaa....maana maana mwanaume yeye anaridhika akimwaga tu...lakini kuna some men EGO inabidi itimizwe....yaana mwanaume anaweza kumkamata mwanamke hata jikoni juu ya meza anampinda mwanamke kweli kweli...akimaliza anajisifu nimemshughulikia kweli(men ego) lakini kumbe mwanamke alikua anaumia tu..na hajafika hata kilele cha kijichi..lakinii maney(mwnye mada) alimaanisha episode kama hizo zinaifanya ndoa iende mbele ....i agree that ndoa is about compromising... but we dont compromise by faking our orgasm, ni kujidanganya tu. maana nikifake, hata wewe me hautapata ule utamu unaotakiwa. natakiwa nifeel, nidischarge huko chini, niwe wet ila nawe upate faudu vizuri. na hiyo responsibility ya wanandoa wote wawili kwa pamoja, si jukumu la mke tu au mume tu
cc Dr.Mo
]....vinine mi naona hapo tumeelewana vzr bana....nyumba ndogo si mpango kabisa...na ukiona mwanaume anafurahia mambo ya nyumba ndogo...ujue anamapungufu kidogo....lakini pia imaney alimaanisha hizo episodes za siku moja moja kukamatana jikoni au kwenye banda la kuku fasta fasta zinatokea..na mwanamke mwenye hekima kama hujafika mwisho au hujafikishwa una uchuna kidogo...maisha yanaendeleaa....maana maana mwanaume yeye anaridhika akimwaga tu...lakini kuna some men EGO inabidi itimizwe....yaana mwanaume anaweza kumkamata mwanamke hata jikoni juu ya meza anampinda mwanamke kweli kweli...akimaliza anajisifu nimemshughulikia kweli(men ego) lakini kumbe mwanamke alikua anaumia tu..na hajafika hata kilele cha kijichi..lakinii maney(mwnye mada) alimaanisha episode kama hizo zinaifanya ndoa iende mbele ....
Khaa mi hata siuchuni wala nini sijaridhika nakwambia bwanaee umeniacha njia panda kwann niumie ili tu kumfurahisha nyie mnasucrifice mara ngapi kutokuridhika ili tu mkeo aridhike. Sidhani kama kuna mwanaume atadoo na mkewe na kuhold bila kumaliza ili mkewe aridhike kwanza wengi wanajiridhisha wao kwanza akitegemea mwanamke auchune tu lol mi nakupa za uso bwana bado hujamaliza kazi.
]....vinine mi naona hapo tumeelewana vzr bana....nyumba ndogo si mpango kabisa...na ukiona mwanaume anafurahia mambo ya nyumba ndogo...ujue anamapungufu kidogo....lakini pia imaney alimaanisha hizo episodes za siku moja moja kukamatana jikoni au kwenye banda la kuku fasta fasta zinatokea..na mwanamke mwenye hekima kama hujafika mwisho au hujafikishwa una uchuna kidogo...maisha yanaendeleaa....maana maana mwanaume yeye anaridhika akimwaga tu...lakini kuna some men EGO inabidi itimizwe....yaana mwanaume anaweza kumkamata mwanamke hata jikoni juu ya meza anampinda mwanamke kweli kweli...akimaliza anajisifu nimemshughulikia kweli(men ego) lakini kumbe mwanamke alikua anaumia tu..na hajafika hata kilele cha kijichi..lakinii maney(mwnye mada) alimaanisha episode kama hizo zinaifanya ndoa iende mbele ....
...Mimi nasema hakuna kitu kibaya kama kutomridhisha mwanamke nae akashusha mzigo....ila wakati mwingine kutokana na mazingira yetu na maisha yalivyo...inatokea some episodes za kutoridhisha...(hali halisi) japo wanandoa wachache wanaongea hili-so bibie aloanzisha mada ndo katoa wazo kwamba mwanamke avumilie....Khaa mi hata siuchuni wala nini sijaridhika nakwambia bwanaee umeniacha njia panda kwann niumie ili tu kumfurahisha nyie mnasucrifice mara ngapi kutokuridhika ili tu mkeo aridhike. Sidhani kama kuna mwanaume atadoo na mkewe na kuhold bila kumaliza ili mkewe aridhike kwanza wengi wanajiridhisha wao kwanza akitegemea mwanamke auchune tu lol mi nakupa za uso bwana bado hujamaliza kazi.