ladies......lets FAKE....

ladies......lets FAKE....

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
314
habari zenu wapendwa,
leo nimekaa na kufiikiria kwa nini kunakuwa na nyumba ndogo,kuna nini huko kinachotuzidi?? jibu nikapata wao ni wanawake km sie wanajua kucheza na jiografia ya MWANAUME................lets break it....mwanaume umpikie umfulie umpe papuchi non stop HAKUACHI ng'o lol.............hizo kazi za nyumbani unaweza kusaidiwa na housegal,ila sex ni wanaume wachache tunaweza kumudu appetite yao...hapo ndipo pa kufake it😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller: najua umechoka just fake ten minutes it will be over LOL...kwanza maumbile yetu hayaonyeshi km wanaume kuwa ume.dindisha ingawa kwa wataalam humdanganyi lol.......................jitahidini jamani msisambaratishe ndoa zenu:confused2::confused2::confused2:
 
nyie hapo juu,hamna ndoa ....once umeingia kny marriage instution jua umeweka covenant na huyo ulioyeolewa/oa naye,respect .......................you will have to make your marriage work😛ray:
 
Covenant ni ya kupeana raha mwanzo mwisho. Ushakula mua una mafundo tu kila mahali hamna utamu? Mwanamke hajifikishi, anafikishwa! Tuna ndoa miaka laki 8, na wanaume wanaojitambua wajibu wao kuwafurahisha wake zao!

acha wale wachache wanaotoka nje ya ndoa zao for the sake of it,hapo nilipobold huoni wadada wenzako wanavunja covenant kwa kuwanyima unyumba waume zao na kuwafanya waende watakapoipata???
 
Natamani nikuulize umri wako ila nakuonea haya. Huhitaji kutoka nje ya ndoa. Unaweza jitoa mzima mzima kabisaa. Cheating is a good reason to break a marriage. Kwanza ni aibu kabisa mwanaume kumcheat mkewe wakati hamridhishi.

Kama unamridhisha mkeo akikuona tu lazma udenda umshuke. Yaani usikie harufu ya nyama choma njaa isije? Umenikumbusha paw wangu, ngoja niwahi home mie.
acha wale wachache wanaotoka nje ya ndoa zao for the sake of it,hapo nilipobold huoni wadada wenzako wanavunja covenant kwa kuwanyima unyumba waume zao na kuwafanya waende watakapoipata???
 
mmmh hawa watu sidhan kama huwa wanaridhika! mmmh sidhan kwa kweli...........
 
Jifunze kuishi maisha yako, si maisha ya mumeo.
Furaha yako iko mikononi mwako, ni wewe tu.

Afu udhaifu wa mwingine wa kugonga nje usikufanye wewe ujitoe mbuzi wa kafara.

acha wale wachache wanaotoka nje ya ndoa zao for the sake of it,hapo nilipobold huoni wadada wenzako wanavunja covenant kwa kuwanyima unyumba waume zao na kuwafanya waende watakapoipata???
 
candy shop!! ahaa!!

i will take you to the candy shop..!!
 
Back
Top Bottom