Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,587
- 81,557
Nataka nikutumie hela ya sikukuu nipe basi namba.Amka usije ukajikojolea huko!
Njoo inbox ila itakua WIN TO WINMkuu mi naomba laki mbili tu achana na huyo chuma ulete
🤣🤣🤣Nataka nikutumie hela ya sikukuu nipe basi namba.
Nitatuma na yakutolea.
Hutaki au?
Mil. 59. Hela ya mtu kustaafu kabisaNi wewe ndio umetoa pesa yote hiyo?
Kujikimu = 2mil per month
Mkopo = 20mil
Gari = 17mil
Kiwanja = 15mil
Pete = 5mil
Madeni Vicoba = undisclosed
Maana kama una uwezo wa kumpa mtoto wa mwanaume mwenzio pesa yote hii, ina maana una uwezo wa pesa na sijui kwa nini umeandika uzi wa kulalamika...
🤣😂Mkuu mi naomba laki mbili tu achana na huyo chuma ulete
Mi namtaka mtoa madaNjoo inbox ila itakua WIN TO WIN