Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
I had this conversation with a friend of mine and shes like she can never and will never do it! Men are not worth it bla bla bla...
I was like what the heck! This is absolutely the peak of pride!
Whats the big deal? After all hes your husband (your head).
My question goes to all the ladies in the house both married & unmarried. Can you kneel down for your husband openly?
Is anything wrong in doing that? Or Im the one not seeing things right.
NOTE: This question might not apply to people that kneeling down is not part of their culture.
Thanks.
Im not from a culture of kneeling, but i would. I dont mind doing it. Its like saying shikamoo to him asubuhi na jioni. It doesnt take a piece off my mouth, sio? I can show him respect without kneeling. We argue like adults, we joke, we laugh and we fight too. WITH RESPECT!
my dear goti linabigwa kwa Mungu tu, hakuna ruhusa ya kumuabudu binadamu, kwani Mungu wetu ni mwenye wivu!
my dear goti linabigwa kwa Mungu tu, hakuna ruhusa ya kumuabudu binadamu, kwani Mungu wetu ni mwenye wivu!
Kula LIKE mkuu, vitu vingine ni simpo sana na kama mna maelewano ya kutosha ndani ya familia wala sio tabu kuvifanya! Wanawake wengine eti wanaona shida! Khaaa, mi kwenye ndoa yangu nilikua kama chizi nilipigiwa magoti mwanzo mwisho na mimi kuna vitu nilikua nafanya ambavyo my friends walikua wakinicheka! Its all aboutRespect na kuwa comfee with each other.....
goti si kuabudu tu,mfano ukimkosea mmeo,uwez mpigia magot kumwomba msamaha
Exactly na kama linapigwa kwa upendo wote mtaenjoy aiseee ila mtu kutumia kumnyanyasa mwenza wake hiyo sio sahihi! Kwa mimi binafsi nilivyolelewa hadi dada zangu wananipigia magoti, mama yangu pia kuna baadhi ya vitu ni lazima anipigie magoti sasa ni kitu ambacho nilikiheshimu! Believe me I treated her kama mama yangu, na sikuwahi kuomba wala kulazimisha alijua ni kitu nakipenda akajizoesha! In turn unajikuta mnakua close kuliko!Kama goti litamfurahisha mume wangu na kumfanya atimize majukumu yake kwa furaha, why not! Kwani goti ni sh ngapi? Lakini sio litumike kunikandamiza. Niliona mahali libaba linakaribishwa chakula mezani (mjini ujue, sio killage),, linaendelea kusoma gazeti. Na aliemkaribisha anaendelea kupiga goti hadi aitikiwe. Hiyo ni ----. Nikifanyiwa hivyo goti linafutwa kwa hansard kabisaa.
Mnahesabika aseeh! afu idadi yenu ndogo sana....
wakat mwingine kama mtu unampenda na umemkosea unapiga magoti tu ili asiende,goti ni kidogo lakin kinaweza rudisha furaha iliyotaka kuondoka
Mnahesabika aseeh! afu idadi yenu ndogo sana....
Hivi umesema umeoa eeh?
sijaoa wala sijui lini litaoa,sijafikiria bado
can you kneel Evelyn Salt.......... King'asti nimependa hiyo high level ya thinking yako na deeds..........mutual respect and understanding is the key points here
can you kneel Evelyn Salt.......... King'asti nimependa hiyo high level ya thinking yako na deeds..........mutual respect and understanding is the key points here