LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)


a list of invalid statements.
 
Tatizo la kukopy vitu kiupofu upofu! Hizo dondoo zote ulizoweka hapo labda zina apply ktk jamii za upande mwingine wa dunia... na hata sijui ni upande gani huo, ila kwa jamii yetu hii ya vurugumechi... Hivi kweli unamwambia binti kuwa huyo mwanamume wa mtu hatamuacha mkewe wakati kaka, wajomba na hata wazazi wake wanaachana kila leo mbele ya macho yake atakuelewa? Mabinti wafanye kazi kwa bidii?! Jamii nzima siyo tu hawafanyi kazi kwa bidii bali hata uwezo wa kufikiri ktk jamii hii ni kama unapotea! Sasa sijui watafanyaje kazi kwa bidii?! Angalia ushauri uliotoa mwisho... wawapende wanaume wa umri wao 'maana ndio wenye upendo wa kweli kwao'...!!! Ya kweli hayo??? Misingi ikiharibika kila kitu kinakuwa vululu-vululu... Ndo mnayoyaona sasa, huwezi kurekebisha ukuta au paa wakati tatizo liko kwenye msingi.
 
usinikumbushe machungu nlivyokuhonga na bado ukanitosa promise zote hukutimiza zaidi ya kuongeza idadi kwa tundu lango tu
lol ujue nina RB yako nkikukamata utakoma
unatoka wapi na vitu used? utaombwa hata hela ya kumtibu mamamkwe wake! mbona mayaki wapo kibao tu na wanalipa?
 
unatoka wapi na vitu used? utaombwa hata hela ya kumtibu mamamkwe wake! mbona mayaki wapo kibao tu na wanalipa?

ha ha ha tatizo avatar ilinichanganya halafu fix kibao
cc: The Boss
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…