Ladha

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
3,199
Reaction score
4,600
Habari
Kwa anayefahamu labda sehemu zinazotengeneza ladha za pombe? Au mfananio wa pombe?
 
Baada ya miaka kumi tz tutakuwa na tatzo kubwa sana la ugonjwa wa Figo...
Age range 17 - 40! Na hii ndio nguvu kazi ! Ni hatari
 
Kwasababu ya pombe sio?

Hakika.. Tena hizi pombe kali za bei rahisi! Watu wanakunywa bila viwango....mtu uwezo wa kunywa bia 5 alipe 15k hana., ila hawezi shindwa kutoa 2000 apate kisungura
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…