Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,203
- 5,704
Nimesema ni Matapeli kwasababu niliomba kazi kama walivotangaza, zoom Tanzania nk, leo wametuma email na sms inayojulisha kuhusu interview lkn pia inayonihtaji nilipie, ikabdi ni Google tena kujua kama kuna taarifa zao na anuani mtandani nimeona hapa Jf wengi walishaitwa na namba zinabadilika
Serikali iwatupie macho hawa, hii e mail ni ya leo tareh, 6/02/2016 na wanataka nilipie 20000/= kufikia kesho.
Viambatanisho soma mwenyewe
Serikali iwatupie macho hawa, hii e mail ni ya leo tareh, 6/02/2016 na wanataka nilipie 20000/= kufikia kesho.
Viambatanisho soma mwenyewe