Naomba kujua zaidi kuhusiana na course tajwa hapo juu ngazi ya diploma ajira zake na umuhimu katika hiyo taaruma na kingine hivi hii course ina mda gani.
Hiyo course ni nzuri sana, inafundishwa kwa miaka mitatu DIT pekee. Qualification lazima o level uwe umefaulu Math, Physics, Biology na Chemistry angalau kwa kiwango cha C