Laboratory science and technology

Laboratory science and technology

kwetugt

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
296
Reaction score
291
Naomba kujua zaidi kuhusiana na course tajwa hapo juu ngazi ya diploma ajira zake na umuhimu katika hiyo taaruma na kingine hivi hii course ina mda gani.
 
Naomba kujua zaidi kuhusiana na course tajwa hapo juu ngazi ya diploma ajira zake na umuhimu katika hiyo taaruma na kingine hivi hii course ina mda gani.
subiri wataaramu waje ndio unaitaji kwenda kuisoma aula
 
Hiyo course ni nzuri sana unaweza fanya kazi kwenye maabara yoyote inayohusiana na sayansi kama TBS,TFDA,Mkemia n.k
 
Katafuteni 3.5 na zaidi la sivyo hapo ndo itakua mwisho wa elimu yenu
 
Back
Top Bottom