Labda tujaribu hivi......................

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,938
31,886
...hamjambo humu.....?

...nilikua napendekeza kuwe na state kindergarten schools....

...zinakuwa za serikali,na zinafundisha kingereza kama zile private medium school zinavyofanya,

..mzazi awe na choice,kumpeleka private ama atafute ya serikali,

...this is also to say,masomo ya shule ya msingi yawe kwa kingereza,

...haina maana kusomea english shule ya awali,afu uje shule ya msingi kusomea kiswahili....,

...unamchanganya mtoto......

...lengo ni kutoa wasomi wenye kuelewa na kuzungumza lugha hio........

...mie,nina imani mtu akianza kusoma kwa kingereza kuanzia level ya chini,akifika na kumaliza chuo,basi hatapata matatizo kwenye lugha hio.............

..hata hao walimu wa sanaa waliokosa ajira,wangeenda kufundisha watoto,kama sio masister duu na mabraza meni....lol
 
Back
Top Bottom