Labda mstaafu Raisi Kikwete alienda Ikulu kuomba Kibali cha kusafiri!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Siku moja baada ya kukutana Ikulu na Raisi Magufuli Raisi mstaafu Kikwete akiwa kazini jijini Maua Mapya (Adis ababa) kama inavyoonekana kwenye picha akiwa na faragha na Makamu wa Raisi wa Sudani ya Kusini!


IMG_20160225_125118.jpg
 
JK kaenda Addis na ndege ya serikalii,karudi na ndege ya serikali,naona mtumbua majipu alimwomba awawakilishe...
 
Mbona Mkapa hamumsemi alivyokwenda Jana Ikulu, kunya anye kuku akinya bata kahara
 
Back
Top Bottom