Yaani nimemcheka Steve mweusi kaulizwa picha ya Kiba akaijua kapewa 10,000
Picha nyingine kaona mmoja kavaa suti akaanza huyu wa serikali huyu
Yaani kashindwa kumjua waziri wake wa ndani?
Hapo ndio kanichekesha
Ila hakuna wachekeshaji bongo
Yaani nimemcheka Steve mweusi kaulizwa picha ya Kiba akaijua kapewa 10,000
Picha nyingine kaona kavaa suti akaanza huyu wa serikali huyu
Yaani kashindwa kumjua waziri wake wa ndani?
Hapo ndio kanichekesha
Ila hakuna wachekeshaji bongo