mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,724
- 2,709
ZigiZaga ....pole kwa machungu uliyonayo. Nakushauri vuta subira. Ukweli una kawaida ya kukawia lakini "haujifichi kamwe". Na declare intererst na Mh. RC na nawashauri Ndugu zanggu tumpe benefit of doubt..Ha ha ha haaaaaa.... Gamboshi, huku Dar Kuna kisingeli ndo Hua wanaimba ivo "utatoa-hutoi"