Laana ya kizazi chako inayoisumbua nyota yako na kukuletesa umauti, hakika inatisha

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,075
P
IMG-20250901-WA0000.jpg

Watu wengi huteseka kiroho na kimwili kwa matatizo mbalimbali huku wengine wakidhani kurogwa wengine wakidhani wameibiwa ama kuchafuliwa nyota lakini watu wengi husahau juu ya laana ambazo zimetokana na koo zao ama wazazi wao

Kama watangulizi wetu ama ndugu zetu ama wazazi wetu kuna makosa walifanya huko nyuma na basi haya ndiyo huathiri hadi watoto wetu kiroho na kimwili kwa maana haya makosa hugeuka kuwa maagano ndani yetu na hutusumbua sisi na maisha yetu

Ikiwa wazazi wetu walifanya kosa la kiroho basi hilo kosa huja hadi kwa watoto na kuathiri katika maisha yao, moja ya makosa ambayo yanabakia hadi pale yanapovunjwa ni kama agano la damu ambalo hilo linahusisha chale, kafara, kuna hirizi za maagano na kuna makosa mengine ambayo hubakia katika mnyororo ndani yetu na yasipovunjwa hugeuka kama kiumbe mbaya na katali sana asiye na huruma na huyo kiumbe huja kumaliza famili na kizazi kijacho.

Makosa kama vile kwenda kwa mganga kumroga mwenzako bila sababu yoyote basi kosa hilo hugeuka na kuwa agano kwa maana nafsi ya mtendewa huanza kulia na kusononeka hivyo yale masononeko yake ni kama agano la damu ambalo taratibu hukua ndani yako na mwishowe utadaiwa na ikiwa haupo duniani basi kizazi chako watadaiwa tu.

Kuna watu wanakwenda kwa wataalam na kwenda kuondoa uhai wa fulani ama unakwenda kumfunga fulani kisa wivu ama tamaa ya kidunia basi kumbuka yale yote unayoyafanya ni kama kioo ndani yako kinamulika na kuyatunza ambapo baadaye hugeuka na kuwa agano ambalo litakusumbua wewe na kizazi chako

Unapokwenda kwa mtaalam kuchanjwa chale kumbuka ni kama kufanya ibada ya kafara na ibada ya kafara lazima utoe sadaka takatifu na hii sadaka takatifu ni damu basi tambua kwa kuchanjwa chale kwako ni ibada kamili ya kafara wewe ni sawa na aliyetoa kafara ya mtu hivyo taratibu unajenga agano ambalo litakusumbua wewe ama kizazi chako na hili ndilo huwasumbua watu wengi maana wazazi wao walifanya haya maagano huko nyuma hivyo lazima wajitoe katika maagano hayo ndipo nafsi zao zitulie...

Maagano ni sawa na makubaliano au mkataba na maagano yapo ya aina nyingi sana kuanzia kafara, chale, punyeto, kujichua, kuuza nafsi ya mwenzako,kumfunga mwenzako, kumroga yote ni maagano

Kuchepuka nje ya ndoa nako ni agano kamili ambalo itabidi lisafishwe kikamilifu na ujitoe katika hiyo kamba

Mara nyingi unasikia watu wanalalamika kuhusu tabia za watoto "huyu mtoto tabia kaichukua wapi, mbona baba na mama yake au ukoo wao hawako hivyo?". Chanzo cha tabia za ajabuajabu za watoto ni matokeo ya michepuko iliyofanya maagano na watu/koo zingine zenye laana. Laana na matatizo yanayoletwa na agano la damu katika familia havihitaji mtu kuchepuka na kuzaa nje ya ndoa, bali tu kuhusiana katika mapenzi!

Iko hivi kukutana kimwili na mtu mwenye maagano ya damu basi tambua na wewe ni sehemu ya maagano kwa maana ndigi ni kwamba mtu mchafu kiroho ukikutana naye na wewe ni sehemu ya huo uchafu

Maagano yanayofanywa na watu kwa njia ya kukutana kimwili na mtu mwenye maagano huenda vizazi hadi vizazi yaani kutoka kizazi hadi kizazi hubebwa na viashilia vilivyopo katika damu, mfano DNA hivyo hii ni hatari sana na inatisha na haya ndiyi huwasumbua watu wengi sana

Maagano ya kukutana kimwili na mtu mwenye maagano ya damu hii inawaathiri sana watoto na sio wahusika maana watoto ndo muunganiko wa damu mbili.

Ukifanya ngono na mtu mwenye mapepo huwa yanahamia pia kwako na kufanya agano nawe na kuathiri nyota yako.

Kumbuka kwamba nyota zina athari ya moja kwa moja katika maisha yetu na yeyote asiyefuata nyota yake hawezi kamwe kusonga mbele kwa maana anaishi nje ya asili yake
 
Unachanganya mambo
Agano na laana ni vitu tofauti.
Mtu kwenda kumloga mwingine inakuwaje agano hadi lishambulie kizazi?
Ila nadhani unaandika tu kama riwaya sawa andika..
 
Mithali 6:32,
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake....
 
Unachanganya mambo
Agano na laana ni vitu tofauti.
Mtu kwenda kumloga mwingine inakuwaje agano hadi lishambulie kizazi?
Ila nadhani unaandika tu kama riwaya sawa andika..
Sio kila agano liko direct, mengine yako indirect. Unapomroga mtu karma ita deal na wewe na kizazi chako
 
Kwa hiyo karma ni matokeo ya kuloga mtu?
Kwani nyota ya mtu unaipataje ?
 
Unachanganya mambo
Agano na laana ni vitu tofauti.
Mtu kwenda kumloga mwingine inakuwaje agano hadi lishambulie kizazi?
Ila nadhani unaandika tu kama riwaya sawa andika..
Usibishe hiyo ndio kanuni ya Kiulimwengu.

Udhaifu uliomuuwa babu ndio hutumika kumuuwa mjukuu. mbali na hapo ni Nguvu ya kimungu kuingilia kati ikusaidie.

Mtoto wa kwanza akiharibikiwa kwanini ni rahis na wanaofata kuharibikiwa .
babu akiwa mlevi ni lahisi na wajukuu kuwa walevi
 
PView attachment 3463394

Watu wengi huteseka kiroho na kimwili kwa matatizo mbalimbali huku wengine wakidhani kurogwa wengine wakidhani wameibiwa ama kuchafuliwa nyota lakini watu wengi husahau juu ya laana ambazo zimetokana na koo zao ama wazazi wao

Kama watangulizi wetu ama ndugu zetu ama wazazi wetu kuna makosa walifanya huko nyuma na basi haya ndiyo huathiri hadi watoto wetu kiroho na kimwili kwa maana haya makosa hugeuka kuwa maagano ndani yetu na hutusumbua sisi na maisha yetu

Ikiwa wazazi wetu walifanya kosa la kiroho basi hilo kosa huja hadi kwa watoto na kuathiri katika maisha yao, moja ya makosa ambayo yanabakia hadi pale yanapovunjwa ni kama agano la damu ambalo hilo linahusisha chale, kafara, kuna hirizi za maagano na kuna makosa mengine ambayo hubakia katika mnyororo ndani yetu na yasipovunjwa hugeuka kama kiumbe mbaya na katali sana asiye na huruma na huyo kiumbe huja kumaliza famili na kizazi kijacho.

Makosa kama vile kwenda kwa mganga kumroga mwenzako bila sababu yoyote basi kosa hilo hugeuka na kuwa agano kwa maana nafsi ya mtendewa huanza kulia na kusononeka hivyo yale masononeko yake ni kama agano la damu ambalo taratibu hukua ndani yako na mwishowe utadaiwa na ikiwa haupo duniani basi kizazi chako watadaiwa tu.

Kuna watu wanakwenda kwa wataalam na kwenda kuondoa uhai wa fulani ama unakwenda kumfunga fulani kisa wivu ama tamaa ya kidunia basi kumbuka yale yote unayoyafanya ni kama kioo ndani yako kinamulika na kuyatunza ambapo baadaye hugeuka na kuwa agano ambalo litakusumbua wewe na kizazi chako

Unapokwenda kwa mtaalam kuchanjwa chale kumbuka ni kama kufanya ibada ya kafara na ibada ya kafara lazima utoe sadaka takatifu na hii sadaka takatifu ni damu basi tambua kwa kuchanjwa chale kwako ni ibada kamili ya kafara wewe ni sawa na aliyetoa kafara ya mtu hivyo taratibu unajenga agano ambalo litakusumbua wewe ama kizazi chako na hili ndilo huwasumbua watu wengi maana wazazi wao walifanya haya maagano huko nyuma hivyo lazima wajitoe katika maagano hayo ndipo nafsi zao zitulie...

Maagano ni sawa na makubaliano au mkataba na maagano yapo ya aina nyingi sana kuanzia kafara, chale, punyeto, kujichua, kuuza nafsi ya mwenzako,kumfunga mwenzako, kumroga yote ni maagano

Kuchepuka nje ya ndoa nako ni agano kamili ambalo itabidi lisafishwe kikamilifu na ujitoe katika hiyo kamba

Mara nyingi unasikia watu wanalalamika kuhusu tabia za watoto "huyu mtoto tabia kaichukua wapi, mbona baba na mama yake au ukoo wao hawako hivyo?". Chanzo cha tabia za ajabuajabu za watoto ni matokeo ya michepuko iliyofanya maagano na watu/koo zingine zenye laana. Laana na matatizo yanayoletwa na agano la damu katika familia havihitaji mtu kuchepuka na kuzaa nje ya ndoa, bali tu kuhusiana katika mapenzi!

Iko hivi kukutana kimwili na mtu mwenye maagano ya damu basi tambua na wewe ni sehemu ya maagano kwa maana ndigi ni kwamba mtu mchafu kiroho ukikutana naye na wewe ni sehemu ya huo uchafu

Maagano yanayofanywa na watu kwa njia ya kukutana kimwili na mtu mwenye maagano huenda vizazi hadi vizazi yaani kutoka kizazi hadi kizazi hubebwa na viashilia vilivyopo katika damu, mfano DNA hivyo hii ni hatari sana na inatisha na haya ndiyi huwasumbua watu wengi sana

Maagano ya kukutana kimwili na mtu mwenye maagano ya damu hii inawaathiri sana watoto na sio wahusika maana watoto ndo muunganiko wa damu mbili.

Ukifanya ngono na mtu mwenye mapepo huwa yanahamia pia kwako na kufanya agano nawe na kuathiri nyota yako.

Kumbuka kwamba nyota zina athari ya moja kwa moja katika maisha yetu na yeyote asiyefuata nyota yake hawezi kamwe kusonga mbele kwa maana anaishi nje ya asili yake
Fanyeni kazi, weka maarifa. Utajiri unakuja taratibu acheni kudanganya watu.
 
Usibishe hiyo ndio kanuni ya Kiulimwengu.

Udhaifu uliomuuwa babu ndio hutumika kumuuwa mjukuu. mbali na hapo ni Nguvu ya kimungu kuingilia kati ikusaidie.

Mtoto wa kwanza akiharibikiwa kwanini ni rahis na wanaofata kuharibikiwa .
babu akiwa mlevi ni lahisi na wajukuu kuwa walevi
Sasa umeandika nini?
Umetoa mifano au umeweka hiyo kanuni?
Hebu niandikie hiyo kanuni na nani kaiweka?
Ukisema Mungu aingilie kati maanake Mungu anapingana na hiyo kanuni?
 
Watu wasiotaka kutumia maarifa ndugu yangu wana nadharia za kijinga sana. Mara laana mara Mungu yaani ni vurugu mechi🤣🤣🤣
 
Sasa umeandika nini?
Umetoa mifano au umeweka hiyo kanuni?
Hebu niandikie hiyo kanuni na nani kaiweka?
Ukisema Mungu aingilie kati maanake Mungu anapingana na hiyo kanuni?
Twende taratibu naona nikienda kasi huta nielewa,
Unaamini uwepo wa shetani na Uchawi ?

Unajua uchawi unapata vipi nguvu ? Na njia ya kujikinga usirongwe ni ipi ?
 
Shetani na Uchawi ni nadharia hakuna uhalisia wowote. Ni nadharia za maskini zilizobuniwa na wajanja ili waendelee kuwaburuza.
 
😂😂😂 kila mtu abaki na akili zake.
siku ukijichanganya kwetu wahuni tunakuminya na majini kisiri siri tunakupoteza.
 
Sasa umeandika nini?
Umetoa mifano au umeweka hiyo kanuni?
Hebu niandikie hiyo kanuni na nani kaiweka?
Ukisema Mungu aingilie kati maanake Mungu anapingana na hiyo kanuni?
Z = ∫ e^(iS[φ]/ħ) Dφ
 
Mwenye namba ya binti anayetafuta rafiki wa kiume weekend hii tu anitumie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom