Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,388 Jun 26, 2013 #1 Yaani taifa hili limefikia hapa, tumeanzisha kabisa shirika la taifa kwa ajili ya uchafu huu, laana ya usagaji italitafuna taifa hii. Tuungane kupinga uwepo wa National Milling Coorporation.
Yaani taifa hili limefikia hapa, tumeanzisha kabisa shirika la taifa kwa ajili ya uchafu huu, laana ya usagaji italitafuna taifa hii. Tuungane kupinga uwepo wa National Milling Coorporation.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Jun 26, 2013 #2 Nduka,mzima ndugu yangu? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,388 Jun 26, 2013 Thread starter #3 Kima Mchanga said: Nduka,mzima ndugu yangu? Click to expand... Kwa nini? Leo nimeamka na kupinga vitendo vya usagaji.
Kima Mchanga said: Nduka,mzima ndugu yangu? Click to expand... Kwa nini? Leo nimeamka na kupinga vitendo vya usagaji.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Jun 26, 2013 #4 Ukisema tusile unga,ugali twasonga na nini? RIP Mr. Ebbo
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Jun 26, 2013 #5 Mimi nilielewa ni National Milling Company......kumbe ni hao Wapumbavu.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Jun 26, 2013 #6 Elli said: Mimi nilielewa ni National Milling Company......kumbe ni hao Wapumbavu. Click to expand... Mpwa Elli, Nduka kaamua kutuchemsha tu hapa! Hili ni shirika la kusaga nafaka,LOL! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Elli said: Mimi nilielewa ni National Milling Company......kumbe ni hao Wapumbavu. Click to expand... Mpwa Elli, Nduka kaamua kutuchemsha tu hapa! Hili ni shirika la kusaga nafaka,LOL!
charger JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 2,320 Reaction score 1,374 Jun 26, 2013 #7 Ila Wanawake wengi walikua wanafaidi huduma za hawa wasagaji kwa bei nafuu
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,388 Jun 26, 2013 Thread starter #8 charger said: Ila Wanawake wengi walikua wanafaidi huduma za hawa wasagaji kwa bei nafuu Click to expand... Yaani ina maana rahisi Nyerere akishauriana waziri mkuu Edward Moringe Sokoine wakaamua kuhalalisha usagaji nchini na kuanzisha shirika la usagaji?
charger said: Ila Wanawake wengi walikua wanafaidi huduma za hawa wasagaji kwa bei nafuu Click to expand... Yaani ina maana rahisi Nyerere akishauriana waziri mkuu Edward Moringe Sokoine wakaamua kuhalalisha usagaji nchini na kuanzisha shirika la usagaji?
mimisa JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 2,511 Reaction score 1,441 Jun 26, 2013 #9 etii ee?..ha ha ha..wanasaga nini?