Dazzle 2
Senior Member
- Oct 9, 2015
- 125
- 71
Wee ulishatuambia mzee wako ni mhuni sasa ulitaka uhuni huo akafanyie wapi? Kama amediriki kutoka nje ya mama yako anaweza kumuacha nani? Na huyo mamamkwe wako pia anashida amewezaje kuangalia movie na mme wa mtu hadi usiku wa manane?
Jamani huwezi kulaumu sumaku kunasana na chuma maana ni asili yake. Kumbuka siku zote hasi na chanja huleta sparks. Na tangu lini mhuni akawa mstaarabu?
Jamani huwezi kulaumu sumaku kunasana na chuma maana ni asili yake. Kumbuka siku zote hasi na chanja huleta sparks. Na tangu lini mhuni akawa mstaarabu?