Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,622
- 2,485
Isabela nilimpendaa,yule mpenzi wa Alejandro nimemsahau jina. 2012 au 2013 ilioneshwa TBC tena.La revancha....the revenge. Daaaah! nimekumbuka mbali sana. Mzee Rodrigo Asiniegas, Ina, Alejandro.
Sio mchezo mazee, ilibamba ile mbaya
demu wa alehandro alikuwa soledad, mtoto wa alehandro aliitwa kike..namkumbuka pia mercedes alikuwa mke wa broo wake alejandroIsabela nilimpendaa,yule mpenzi wa Alejandro nimemsahau jina. 2012 au 2013 ilioneshwa TBC tena.
ni kali sana aisee, hadi leo bado naimissmpaka leo sijawai kuona tamthilia ya kimapenzi kali kama hii
Hii tamthilia ilikuwa nzurii uuwi kuanzia wimbo. Tony na Rachel full dramaAcapulco Bay
1. LA Mujer De Mi Vidampaka leo sijawai kuona tamthilia ya kimapenzi kali kama hii
La mujar ni kibokoDah zamani ilikuwa tamthilia nzuri sana. Mimi nimetafuta la mujer de mi vida wapi. Kwa anayejua pa kudownload au hata dvd zake kama zinauzwa.
La mujar ni kiboko
Secreto de Amor'-maria Clara & Carlos Raul,1. LA Mujer De Mi Vida
2. La Revancha
3. All About Camilla
We nawe na hiyo ITV yako...Jamani mleta mada umegusa patam.. Soledad alikua bint mrembo sana... NAOMBA ITV mrudie plzzzz ilikua nzuri sana wadau