La liga tittle race

Numero Uno

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
597
1,277
20210516_210953.jpg

Mbio za ubingwa la liga zinaendelea kila team imebakiza match moja
 
Atletico kashinda...

Ni hamu yangu kuiona atletico inabeba hii ndoo, hili chama nalizimia mnooo, kuas mtaani kunibatiza jina la DIEGO SIMEONE ila naona mwamba sasa hv km kachoka kimipango vile.
Wewe ndio kama mimi. Timu imechoka sana mwishoni. Nina wasiwasi na Match ijayo dhidi ya Valladolid kwakuwa Valladolid yupo nyumbani na anapambana asishuke daraja kwakuwa anashika nafasi ya 19 na yupo home. Lakini pia Real Madrid wanakazi watakapo kutana na Villarreal.
Barcelona ndio kakosa rasmi leo hata angeshinda isingesaidia kwakuwa tayari ATM wameshinda.
 
Leo ndio leo asiye na mwana abebe jiwe, iwe isiwe lazima kombe lichukuliwe na hii, ni mechi kali kati ya timu ya kifo na timu ya uhai..

Atletico
Real
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom