Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,207
- 40,645
Yule ni Kocha nadhani anamzidi hadi Pep,sema hapewi heshima tuHapo kazi kubwa kaifanya anceloti, kaweza kuiunda timu na hamasa kwa wachezaji, kumbuka madrid wachezaji ni wakuungaunga na pia wakongwe ni wengi. Mtu kama benzema ulimuona alivyoimarika utadhani ni under 30 player
hebu kuwa serious mkuu, Real Madrid peke yake wamebeba UCL 14 ambayo ni zaidi ya makombe yaliyobebwa na vilabu vyote vya Uingereza. Sasa hiyo EPL ubora wake ni upi?
