inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,740
- 22,490
Klopp alishangaa kila siku mpira,timu haipumzikiWe jamaa upo sahihi kabisa, chuku timu kama real Madrid leta EPL halafu icheze mechi za ligi, carabao, fa na UEFA kama haijamaliza ligi nafasi ya 10 na UEFA akatolewa mzunguko wa kwanza![]()

