SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 833
- 1,581
Duhh wewe kaka, kila siku unamtag min -me Unakazi gani naye? Watu wnaa majukumu nje ya jf hawezi kukaa kulike post kila siku! Muombe no zake uwe unamshtuaπLeo ndugu zanguni nimesikitika sana kutokumuona member mwenzetu MIN-ME.
Mana leo kila post nayopita hakuna comment wala like yake imenisikisha sana leo
Au sijui kazidiwa na majukumu au mgonjwa au kuna mtu wake wa kalibu labda anaumwa cjui tu.
Mana huwaga kuna muungano wa watu..
Lakin sijui wenzangu mnalionaje hili [USER=797737]Seran dosho12 ngara23 win-one hata wewe Red black kutokumuona jamaa inakuumi9a kichwa..
Ndio amuanzishie uziπYupo unajua sometimes mtu anaamua kusoma tu bila kucomment wala reaction yoyote
NDiyoNdio amuanzishie uziπ
Leo ndugu zanguni nimesikitika sana kutokumuona member mwenzetu MIN-ME.
Mana leo kila post nayopita hakuna comment wala like yake imenisikisha sana leo
Au sijui kazidiwa na majukumu au mgonjwa au kuna mtu wake wa kalibu labda anaumwa cjui tu.
Mana huwaga kuna muungano wa watu..
Lakin sijui wenzangu mnalionaje hili [USER=797737]Seran dosho12 ngara23 win-one hata wewe Red black kutokumuona jamaa inakuumi9a kichwa..
Hapana min akuwaga kazini, akiwa off atakuja kulike post za kila mtu sasa huyu kila siku anamtag mpk leo imenibidi niulize shida niniπNDiyo
au unataka kusema anajitekenya na kucheka ila sidhani.
Unataka kusemaje !? ππNDiyo
au unataka kusema anajitekenya na kucheka ila sidhani.
Hapana min akuwaga kazini, akiwa off atakuja kulike post za kila mtu sasa huyu kila siku anamtag mpk leo imenibidi niulize shida niniπ
Watu wenye majukumu mna jibu kwa upoleatakuwa yupo bize na majukumu au kaamua kusoma tu kama alivyosema red black
umekuja na kukataa mangi hawez Fanya utoto wa hivyoUnataka kusemaje !? ππ
anamkubali tu kishikajiHapana min akuwaga kazini, akiwa off atakuja kulike post za kila mtu sasa huyu kila siku anamtag mpk leo imenibidi niulize shida niniπ
kaambiwa atafute hela ya abaya kabla ya iddi πWatu wenye majukumu mna jibu kwa upole
abaya ni kitu gani ?kaambiwa atafute hela ya abaya kabla ya iddi π
Huyo tuna mjua, je wewe ni nani humu ndani mkuu?