Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
naipenda sana LA mtoa mada asante sana
Kudos to Kobe he's got a wonderful family and a very beautiful wife
Vanessa Bryant,wife of Los Angeles Lakers guard Kobe Bryant(notes) takes a picture in the East Room of the White House in Washington, Monday, Jan. 25, 2010, during a ceremony where president Barack Obama honored the 2008-2009 NBA basketball champion Los Angeles Lakers
President Barack Obama talks with Los Angeles Lakers guard Kobe Bryant's(notes) children Gianna Bryant, and Natalia Bryant, right, during a ceremony in the East Room of the White House in Washington, Monday, Jan. 25, 2010, where he honored the 2008-2009 NBA basketball champions Los Angeles Lakers
Kudos to Kobe he's got a wonderful family and a very beautiful wife
teteteteh ni kweli wife yuko bomba kumbe umeona
..Obama hakupaswa kuendekeza ushabiki wake wa Chicago Bulls siku ambayo it was supposed to be LA Lakers' day.
..Lakers ndiyo mabingwa, sasa ya nini kuwapotezea muda wao na story za Michael Jordan and his past domination over the Lakers?
Sasa Bush angeongea nini kuhusu Dallas Mavericks wakati haina hata ring/championship moja?!...lolOmega Psi Phi,
..we acha tu!!
..Bush aliwapamba vizuri Celtics kuliko Obama alivyofanya kwa LA Lakers.
..labda Obama yuko too busy na maandalizi ya state of the union.
..tafuta video clip ya Celtics uone jinsi Bush alivyowatunza Celtics kuanzia owners, coaches, wachezaji wote, lakini zaidi team captain Paul Pierce. yaani Bush alihakikisha kwamba ana mention how Pierce lived up to his nick name the "TRUTH."