La haula la kwata... Mke wangu

La haula la kwata... Mke wangu

Namwambia mi nilikua napita zangu,huyo mhudumu akaniita akaniambia mmeo kaagiza dada poa,sasa kwa kumkomesha njoo nikupeleke chumban kwake umsute,ndo nmekuja kukusuta kwanini unatafuta madada poa
Namimi namwambia nilikuwa nakupima kumbe ndo tabia zako..nambandua namwambia arudi nyumbani af naagiza dadapoa mwingine wa kupiga mpaka kesho asubuhi..alafu nikifika home kesho asubuhi kesi inaanza upya....
 
mbona simple tu ..hapo kama ni mimi namgeuzia kibao mke wangu na mwambia yaani nilikuwaga naskia tu kuwa unajiuza ..na leo siamini kama uchunguzi wangu dhidi yako umefanikiwa kunihakikishia hilo ..yaani kumbe mke wangu unajiuza kweli ..kahaba mkubwa weeee ...twende ukachukue talaka yako ..
 
Hahaha nyaaaambafu wee
 
Huko hotelini muda huo atakuwa anagundua nini na ataniambia why hayupo nyumbani
 
Kwasababu hapo hotelini mmekutana kama mtafuta starehe na mtafuta pesa, basi mnatimiza lililowapeleka tena unahakikisha unamlipa mkeo ukiwa wake. Na mke unahakikisha jamaa anaridhika ipasavyo, kisha mke unatoka unamuacha bwana hapo kwenye hoteli.

Mkifika nyumbani mkiamua mnaweza msiyazungumze kisha kila mmoja wenu akajirekebisha, kama mtakuwa mko kwenye kiwango cha juu cha ustaarabu mnaweza ulizana sababu ya kila mmoja kwanini kwenda pale... kisha hayo mapungufu mkayarekebisha mkaendelea na maisha yenu bila ugomvi.

Mkiona ugomvi na madhara hauepukiki, basi mmoja wenu afungashe virago muanze maisha mapya kwa amani kila mmoja kivyake.
Mhhh,,,,,,sio rahisi hivyo
 
mwanamke kujiuza jua anagongwa na wengi ila mume ni mara chache sana kugonga zaidi ya demu 1 au wa2. mi ninge deal na mwanamke wangu achukue vyake
 
Kwasababu hapo hotelini mmekutana kama mtafuta starehe na mtafuta pesa, basi mnatimiza lililowapeleka tena unahakikisha unamlipa mkeo ukiwa wake. Na mke unahakikisha jamaa anaridhika ipasavyo, kisha mke unatoka unamuacha bwana hapo kwenye hoteli.

Mkifika nyumbani mkiamua mnaweza msiyazungumze kisha kila mmoja wenu akajirekebisha, kama mtakuwa mko kwenye kiwango cha juu cha ustaarabu mnaweza ulizana sababu ya kila mmoja kwanini kwenda pale... kisha hayo mapungufu mkayarekebisha mkaendelea na maisha yenu bila ugomvi.

Mkiona ugomvi na madhara hauepukiki, basi mmoja wenu afungashe virago muanze maisha mapya kwa amani kila mmoja kivyake.
Muhimu nikusameesna tuu hapo maana mtawapa watu faida mtadhalilishana niheri mkakanyana lakini cc wanaume wivu huwa hatuani hata kidogo kama hawezi kurudia
 
Namwambia mi nilikua napita zangu,huyo mhudumu akaniita akaniambia mmeo kaagiza dada poa,sasa kwa kumkomesha njoo nikupeleke chumban kwake umsute,ndo nmekuja kukusuta kwanini unatafuta madada poa
Ilo butwaa utakalopata hata kuinua lips utashindwa!!
 
mwenye cheni bandia kapewa pesa bandia na mwenye pesa bandia kauziwa cheni bandia. tuliozoea jiji tunasema ngoma droo na tunaset mambo mengine yaendelee kama kawaida
 
Umefika hotelin na ukaona kulala peke ako sio poa, ukamuagiza mhudumu akuitie angalau dada poa mmoja anayejiuza... Mhudumu kaenda kukuitia....dada poa kaingia ndani kakakaa kitandani ila ile unamcheki usoni...La haula la kwata.. Unaona ni mkeo ndio kaletwa yaan katolewa huko kwenye dangulo kumbe nae alikuwa kazini mda huo...

Sasa je kama wewe ndiye huyo mume ni nini ungekifanya,, na hivyo hivyo ungekuwa ni mke ni nini ungefanya?
a0b4ff9b07ead8efc8a769a98d2c0f1e.jpg

=================
Kalenga kidamali
Maelezo na picha s habar sahihi ....hii ilitokea kweli ....aliagiza kahaba ktk site moja akaja mtoto wake s mke wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom