Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Huyu mzee anakipaji kwakweli
Nani huyu? Mzee Majuto wa Ulaya ama?
eeehhh bin bin ....Mke kafanana na mume hadi mtoto kaprintiwa copy n paste !!
Nani huyu? Mzee Majuto wa Ulaya ama?
Huyu bwana tumepishana mbali sana sipengi kiangalia mambo yake