Mkuu Jilala,
Kwenye siasa huwa hakuna permanent enemy wala friend, ndio maana Mwakyembe na Mwanjala walikuwa kambi moja mwaka 2005, lakini mwaka huu walikuwa mahasimu. Kwenye siasa kila kitu kinawezekana.
Mimi sijaongelea kutuhumiwa, nimeongelea yale yaliyotokea mbele ya macho ya Mwakalinga hapa JF. Kwa hiyo kwamba alituhumiwa na Mwakipesile na mpaka wakagombana, hilo mimi silijui. Nilichokuwa ninajadili ni yale yaliyotokea kipindi cha kuelekea 2010 hasa baada ya taarifa kuwekwa wazi kwamba Mwakalinga ana nia ya kugombea.
Tuje kwenye hoja ya kuleta mada hapa, unajua mada ikiletwa hapa na ikaanza kujadiliwa na wapambe ndipo maana na umuhimu wa mada huwa unapotea. Ukianza kujadili kitu kwa misingi ya upambe huwezi ukawa na balanced argument. Kwa hiyo dawa yake ilikuwa ni Mwakalinga kuwaomba hao wapambe wake waachane na mada hizo. Kama mtu anafuka pumba kwanini ubishane/ushindane? Itafika mahali watazamaji watashindwa kuelewa yupi mwenye akili timamu na yupi ambaye ana matatizo.
Mfano mdogo, Afande Samweli ametoa maneno mengi sana. Kama mada ya Kadi Fake na ile nyingine ya Mwakalinga kukamatwa zingekuwa bado zipo, ningekuambia kasome maandishi ya Afande Samweli na usome mabandiko ya Malafyale halafu uniambie nani alikuwa mkweli kuliko mwingine na nani alikuwa anajadili mada kiupambe na yupi alikuwa na hoja ambazo ziko balanced.
Unajua ukianza ku-dispute habari alizokuwa anatoa Malafyale na ilihali kuna ushahidi wa mambo aliyoyasema wakati wa kampeni za kura za maoni na kwenye uchaguzi wenyewe na yote yakawa yako sahihi, huwezi kunishawishi niseme kwamba habari alizotoa Malafyale huko nyuma zilikuwa ni za uongo. Kwa hiyo credibility ya Malafyale kwa sasa ni kubwa sana kwa kuwa mambo mengi aliyoyasema kwenye kura za maoni na uchaguzi yamedhihirika kuwa ni ya kweli.
Mwisho umesema kwamba Mwakalinga mwenyewe ndiyo alikuwa analeta taarifa na kukanusha za uongo, labda huko nyuma mwaka 2009, lakini siyo mwaka huu. Kwa hiyo taarifa ya kadi fake ililetwa na Mwakalinga mwenyewe? Ni Mwakalinga pia aliyekanusha kwamba hajakatwa? Ni Mwakalinga mwenyewe aliyekuwa anasema Mwakyembe amekaliwa kooni? Ni Mwakalinga mwenyewe aliyekuwa analeta propoganda za kura za maoni kwamba anaongoza? Labda kama siku hizi Mwakalinga amebadilisha jina hapa JF na inaonekana alikuwa na muda mwingi maana news zake zilikuwa zinamwagika hapa 24/7.
.
Jamaa huyu katumwa nini.
Jilala ni jilala au magoli na Afande Samwel ni Afande Samwel.Acha kinifananisha mimi na watu
Ndiyo maana ninasema .Wewe ni mpishi tu
Mwaka 1990,Morovian kyela,waliamua kujitenga na kunyang'anya baadhi ya makanisa na Mwaka 1992 chini ya askofu mwakijambile,wakasajili kanisa lao na kujiita morovian kyela na wakati huu mbunge ni kasyupa.
Morovian kyela ni kanisa linalo tambuliwa.Ndiyo maana ninakwambia wewe ni mpishi tu.
Morovian kyela wamepata askofu mpya mwaka jana 2009 na mgeni rasmi alikuwa mkuu wa mkoa wa mbeya,Lakin aliwakilishwa na viongozi wa serikali wilaya,ambapo ata mbunge Harison Mwakymebe alikuwepo na alitoa zawadi ya pikipiki kwa askofu mpya.
Acha kuwa mpishi.
Kwa wanaomfahamu Mbunge Harrison Mwakyembe, je ana undugu wowote na Mwalimu Gordon Isegelekesye Mwakyembe aliyekuwa anafundisha Advanced Maths Tabora na Mazengo?
Sikonge acha uongo, Kyela FM haiko chini ya Halmashauri, alijaribu kuitumia kuombea kura akajikuta anafichua ufisadi aloufanya kuhusu hiyo radio bila kuelewa, akaacha kuizungumzia.
Tofauti ya kura ni kubwa mno, 15336 dhidi ya 1,691 inatoa ujumbe ulio wazi kwamba hakubaliki. Suala la kuchangia maendeleo ya Kyela wengi tunachangia, na hilo wananchi Kyela wanalifahamu. Uamuzi walioufanya unatokana na upeo wao wa uelewa katika mambo yanayowahusu.
Kwa wanaomfahamu Mbunge Harrison Mwakyembe, je ana undugu wowote na Mwalimu Gordon Isegelekesye Mwakyembe aliyekuwa anafundisha Advanced Maths Tabora na Mazengo?
Sikonge acha uongo, Kyela FM haiko chini ya Halmashauri, alijaribu kuitumia kuombea kura akajikuta anafichua ufisadi aloufanya kuhusu hiyo radio bila kuelewa, akaacha kuizungumzia.
Mwakalinga hakufanya hayo ili agombee. Miradi yake tayari inarudisha hela. Li mradi la HASARA ambalo kafanya hadi leo ni Kyela FM. Anaombea tu liwe linajiendesha lenyewe na kwenye uongozi kajitoa kabisa. Imebaki chini ya watu wengine na Halmashauri ya Wilaya ya Kyela. Ila iko hoi kifedha hata sehemu za majengo haina na kaamua tu kuendelea kuikumbatia kwa kuiweka hapo kwake kwenye KBS.
[/B]
.Mkuu Jilala,
Kwenye siasa huwa hakuna permanent enemy wala friend, ndio maana Mwakyembe na Mwanjala walikuwa kambi moja mwaka 2005, lakini mwaka huu walikuwa mahasimu. Kwenye siasa kila kitu kinawezekana.
Mimi sijaongelea kutuhumiwa, nimeongelea yale yaliyotokea mbele ya macho ya Mwakalinga hapa JF. Kwa hiyo kwamba alituhumiwa na Mwakipesile na mpaka wakagombana, hilo mimi silijui. Nilichokuwa ninajadili ni yale yaliyotokea kipindi cha kuelekea 2010 hasa baada ya taarifa kuwekwa wazi kwamba Mwakalinga ana nia ya kugombea.
Tuje kwenye hoja ya kuleta mada hapa, unajua mada ikiletwa hapa na ikaanza kujadiliwa na wapambe ndipo maana na umuhimu wa mada huwa unapotea. Ukianza kujadili kitu kwa misingi ya upambe huwezi ukawa na balanced argument. Kwa hiyo dawa yake ilikuwa ni Mwakalinga kuwaomba hao wapambe wake waachane na mada hizo. Kama mtu anafuka pumba kwanini ubishane/ushindane? Itafika mahali watazamaji watashindwa kuelewa yupi mwenye akili timamu na yupi ambaye ana matatizo.
Mfano mdogo, Afande Samweli ametoa maneno mengi sana. Kama mada ya Kadi Fake na ile nyingine ya Mwakalinga kukamatwa zingekuwa bado zipo, ningekuambia kasome maandishi ya Afande Samweli na usome mabandiko ya Malafyale halafu uniambie nani alikuwa mkweli kuliko mwingine na nani alikuwa anajadili mada kiupambe na yupi alikuwa na hoja ambazo ziko balanced.
Unajua ukianza ku-dispute habari alizokuwa anatoa Malafyale na ilihali kuna ushahidi wa mambo aliyoyasema wakati wa kampeni za kura za maoni na kwenye uchaguzi wenyewe na yote yakawa yako sahihi, huwezi kunishawishi niseme kwamba habari alizotoa Malafyale huko nyuma zilikuwa ni za uongo. Kwa hiyo credibility ya Malafyale kwa sasa ni kubwa sana kwa kuwa mambo mengi aliyoyasema kwenye kura za maoni na uchaguzi yamedhihirika kuwa ni ya kweli.
Mwisho umesema kwamba Mwakalinga mwenyewe ndiyo alikuwa analeta taarifa na kukanusha za uongo, labda huko nyuma mwaka 2009, lakini siyo mwaka huu. Kwa hiyo taarifa ya kadi fake ililetwa na Mwakalinga mwenyewe? Ni Mwakalinga pia aliyekanusha kwamba hajakatwa? Ni Mwakalinga mwenyewe aliyekuwa anasema Mwakyembe amekaliwa kooni? Ni Mwakalinga mwenyewe aliyekuwa analeta propoganda za kura za maoni kwamba anaongoza? Labda kama siku hizi Mwakalinga amebadilisha jina hapa JF na inaonekana alikuwa na muda mwingi maana news zake zilikuwa zinamwagika hapa 24/7.
Mwakalinga kwishnehi...finito...kaput!!! Bwahahahahaaaa.....lakini pole sana.
Haya mambo ya siasa matamu sana! Kwa taarifa nilizopata muda huu kwa watu niliowaacha Kyela,inasemekana kuna vijana 7 ambao wameshikwa na kadi za chama walikuwa wanampigia Mh. 1 kati ya wagombea. Vijana hao wanasema walikuwa na kadi kati ya 10-20 kila mtu. Walio Kyela na uhakika wa habari hii tujulisheni,maana Mbunge kihshapatikana lakini ni bora tukajifunza na haswa kama hawa walioshindwa na kura zenyewe waliiba-na je wasingeiba ingekuwaje?:disapointed:
Katabazi.
Sikomge nakushukuru kwa hiyo document kwani hapo ndio penye utata wenyewe. Hadi sasaHalmashauri haielewi kinachoendelea, hapa umezidi kufichua ufisadi wa nduguyo mwakalinga, mzee Kisugujila alishitukia hiyo radio sasa naona kuna mtu kasaini kwa niaba ya mkurugenzi suala la uwekezaji!!!
Lipo bomulinakuja tusubiri!
Lkn hebu nisaidie nami nio attach document ya matokeo ya kyl uone ukweli ulivyo badala ya kupiga porojo
Mkuu Kichuguu,
Mwanzo kabisa, mimi nilifikiri ni huyu Mwalimu wa Hesabu pale Mazengo. Nilimkuta Mazengo na kumuacha. Alikuwa Mlokole kwelikweli ila ukimkorofisha, basi anaweka ulokole pembeni na kukuweka makofi.
Mara ya mwisho nakumbuka kumuona Arusha akiwa na mwimbaji/mchungaji Munisi na Wapendwa wengine kwenye kanisa la AG karibu na nyumba za AICC. Nilishangaa kumuona na nikaenda kumsalimia. Hakuweza kunifahamu kwa sababu yeye alikuwa akifundisha hesabu A-Level na mie nilikuwa o-level.
Nakumbuka siku moja aligombana na mwalimu mmoja Mhindi aitwaye YALE. Yale alikuwa na kimwili kidogo sana na kama kawaida ya Wahindi alikuwa na ki-Vespa chake na akitesa nacho kubeba watoto au mke au kuja nacho kazini. Yale alikuwa kaajiriwa kama Tanzania Expert au TX. Ugomvi ulizuka na kisa ilikuwa ni ile miaka Sukari ya shida. Ikija dukani basi wanapewa kwanza walimu na wafanyakazi. Sasa sijui Yale alitaka zaidi au nini, sikumbuki na ugomvi ukaanza. Mwakyembe akawa mkalii..... Yale akaanza kufoka kwa lafudhi ya kihindi "...... i don't fear you, i can fight you Mwakyembe........" Mwakyembe nafikiri kwa kuogopa TX, na yeye akaanza kufoka na kusema "..Don't shake us with your TX name." Mungu bariki Mikono haikutembea maana Yale angeliuawa.
Sijui kama wana ndugu nilishawahi uliza jamaa kadhaa wakasema hawafahamu.
NB: Hebu tafuta makala ya Ubunge jimbo la Sikonge, nimeweka wimbo safi sana. Naomba mnipatie maana ya maneno kwenye tiitle.
kushindwa kupambanua kinyamwezi na kisumbwa, kwa hiyo ukisikilza katika upande wa kinyamwezi tu bila kuchanganya kisumbwa kidogo unaweza kupotea