Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kama wapiga debe wa Mwakalinga ni hawa watu wenye udini na chuki dhidi ya wakristo (kama huyu Kanda2) basi itabidi ajieleze mara mia mia kwa wanakyela.
 
Hawa ma mods waqchemfu sana wakati mwingine. Kila mtu anamjua huyo mtu kuwa ndio Mtanzania sasa wamefuta post yangu sijui kwa nini.
msumeno umetukana wote,hata mimi wamebadilisha kichwa cha habari ambacho kingeleta mvuto.ukisema Mwakalinga hakuna anayejua ila ukiweka MwanaJF kila mtu anataka kujua ni GT,nyani Ngabu au Mkandara.
 
mkuu soma alichokisema unless aseme tena hakuwa yeye..

mheshimiwa mwakalinga kawasaidia nini wana kyela mpaka sasa...maana nijuavyo kuleta maendeleo sio lazima uwe mbunge,mkurugenzi au waziri.....yeye keshawafanyia nini wana kyela?

Mkuu,

Hio ya kwanza ni kwamba alikua anakanusha taarifa za yeye kuwepo huko Kyela kwa minajili ya kuratibu kampeni ya 2010.

Pili, inabidi uende jimboni Kyela ili uweze kuona kwamba amefanya nini, kwani hatuwezi kusema sana kwa sasa.

Cha msingi ni kwamba huyu mkuu amethibitisha kwamba sasa yupo tayari kwa msafara wa 2010 jimboni Kyela.
 
Kama wapiga debe wa Mwakalinga ni hawa watu wenye udini na chuki dhidi ya wakristo (kama huyu Kanda2) basi itabidi ajieleze mara mia mia kwa wanakyela.
yameshakuwa haya? nisingemsupport ungesema namchukia kwa udini, nikisema nimsupport unanilaumu nishike lipi?
wanaKyela wangapi wanaomjua Kanda2? wana kyala wangapi wanaingia JF?
SOMA Tanzania Daima uone nguvu za Mwakalinga mkuu.ndiyo kwanza safari imeanza.
 
Huyo mwakalinga ni yule aliyeaanzisha computer centre pale Jitegemee JKT high School na baadae kuwa na Dar es Salaam International School pale Sinza?

Siye huyu aliyetajwa kama mmoja wa wanahisa wa ile kampuni ya kina Mwekyembe ya Umeme wa Upepo kule Singida?

Naomba kuelimishwa kidogo

Omarilyas
 
Mkuu,

Hio ya kwanza ni kwamba alikua anakanusha taarifa za yeye kuwepo huko Kyela kwa minajili ya kuratibu kampeni ya 2010.

Pili, inabidi uende jimboni Kyela ili uweze kuona kwamba amefanya nini, kwani hatuwezi kusema sana kwa sasa.

Cha msingi ni kwamba huyu mkuu amethibitisha kwamba sasa yupo tayari kwa msafara wa 2010 jimboni Kyela.
mkuu vaa mawani......hebu soma ile quote aliomwambia maxence......hana mpango wa kugombea......anyway

nataka nijue uzoefu wake kama mhazini wa tanzanet aatwafanyia nini wana kyela....
 
Hawa ma mods waqchemfu sana wakati mwingine. Kila mtu anamjua huyo mtu kuwa ndio Mtanzania sasa wamefuta post yangu sijui kwa nini.

Tunashukuru mkuu kwa kumweka mwali hadharani....sasa kwanini anaona noma kutumia jina lake kama kina Zitto na Slaa!
 
yameshakuwa haya? nisingemsupport ungesema namchukia kwa udini, nikisema nimsupport unanilaumu nishike lipi?
wanaKyela wangapi wanaomjua Kanda2? wana kyala wangapi wanaingia JF?
SOMA Tanzania Daima uone nguvu za Mwakalinga mkuu.ndiyo kwanza safari imeanza.

Wewe ni mtu mwenye chuki kubwa sana dhidi ya wakristo. Nakuhakikishia kuwa wana Kyela wote wataambiwa habari zako wakati maalumu ukifika ili wajue support ya Mwakalinga inatoka wapi.

Nina hakika Mwakalinga ataingia hapa muda si mrefu akukane hadharani na kuyakataa mambo yako ya uchochezi wa chuki dhidi ya wakristo.
 
Huyo mwakalinga ni yule aliyeaanzisha computer centre pale Jitegemee JKT high School na baadae kuwa na Dar es Salaam International School pale Sinza?

Siye huyu aliyetajwa kama mmoja wa wanahisa wa ile kampuni ya kina Mwekyembe ya Umeme wa Upepo kule Singida?

Naomba kuelimishwa kidogo

Omarilyas
may be ndio huyu msela....
attachment.php

SteveD tumwangie data..najua sasa hivi uko page ya 2 kwenye MS word....
 
Attachments

  • ky.JPG
    ky.JPG
    4.8 KB · Views: 180
Wewe ni mtu mwenye chuki kubwa sana dhidi ya wakristo. Nakuhakikishia kuwa wana Kyela wote wataambiwa habari zako wakati maalumu ukifika ili wajue support ya Mwakalinga inatoka wapi.

Nina hakika Mwakalinga ataingia hapa muda si mrefu akukane hadharani na kuyakataa mambo yako ya uchochezi wa chuki dhidi ya wakristo.

ndugu naona unaota hawezi kunikana MwanaJF mwenzake. tunasubiri kampeni zianze tukajikite KYELA.
kumekucha!!.mwendo Mdundo.
 
Chati ya mwanasiasa huyo msomi wa sheria aliyebobea, ilipanda zaidi pale alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati Teule ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyochunguza kashfa ya mkataba kati ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Kampuni ya Kufua Umeme wa dharura ya Richond LLC, ambayo ilisababisha mawaziri watatu wa Serikali kujiuzulu.

Hivi Mwakyembe ndio alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ile?

Mwakyembe hawezi kuitwa mwanasheria aliyebobea bali mawanasheria mzamivu kwani ana shahada ya uzamivu katika sheria lakini hajatoa maandiko rasmi ya kutosha ya kisheria na ndio maana hajapata kuwa hata associate Prof.

omarilyas
 
George Ambwene Mwakalinga niliona kila michango yako hapa ndani nikajua wewe ni CCM damu .Niliwahi kukueleza ukasema oh mzushi sasa umefanya kweli .Mie sina tatizo na huyu bwana kugombea ila nina wasi wasi na credentials zake .Kasoma mhandisi sawa lakini uzoefu wa uongozi kazini kwake huko au kuweka pesa za wana jamvi wengine wa tanzanet? Kuwa mwanzilishi wa JF ? Kumbe nayo hii ni sifa kwa mtu kugombea Ubunge Kyela ? Yeye ataimaliza migogoro ya CCM? Inakuwaje anagombea kwa Chama hiki chenye vituko na na yeye anajua kabisa .Ana nia kweli kuwakomboa watu wa Kyela ama ana jambo lake ? Msomi mbona wako wasomi kibao huko CCM akiwemo Mbunge wake lakini wote wanacheza ngoma ya mahepe?

George Mwakalinga mwana JF mwandamizi kila jambo jema .
 
Kinachonitatiza mimi ni huu utamaduni wa kupanda ndege eti kurudi "nyumbani" kugombea uheshimiwa ama kuwatumikia wananchi tunaowaona katika online newspapers, blogs and hizi frastrations za jamboforums. Hawana tofauti na hawa "Wafadhili" weupe wanaoishia kuendelea kuhalalisha tabaka tawala badala ya kuwasaidia watanzania ambao ukweli hawahitaji sana misaada yao.

Na mwaka huu tutawaona wengi sana....karibu to the United Republic of Frustrations and Disappointments...and oppurtunities for wale Wajasiri wa kukusanya mali...

omarilyas
 
ndugu naona unaota hawezi kunikana MwanaJF mwenzake. tunasubiri kampeni zianze tukajikite KYELA.
kumekucha!!.mwendo Mdundo.

Hongera mkuu na huo mwendo wako mdundo wenye chuki kali dhidi ya wakristo wa Kyela.
 
Kinachonitatiza mimi ni huu utamaduni wa kupanda ndege eti kurudi "nyumbani" kugombea uheshimiwa ama kuwatumikia wananchi tunaowaona katika online newspapers, blogs and hizi frastrations za jamboforums. Hawana tofauti na hawa "Wafadhili" weupe wanaoishia kuendelea kuhalalisha tabaka tawala badala ya kuwasaidia watanzania ambao ukweli hawahitaji sana misaada yao.

Na mwaka huu tutawaona wengi sana....karibu to the United Republic of Frustrations and Disappointments...and oppurtunities for wale Wajasiri wa kukusanya mali...

omarilyas
mkuu utasikia na nyani ngabu anakwea pipa kuja "kupigania haki za wanyonge"
 
kajinyonge ndugu yangu.mwakalinga yuko hatua kumi mbele.akiingia mjengoni kila mwanakyela anakula laptop.
Hivi tunavyozungumza mwakalinga inabidi apewe ulinzi mzito kwani wafuasi wa mwakyembe wameanza kuchanganyikiwa.

Mkuu,

Mawazo yako ni mazuri kabisa.

Pia huyu jamaa haitaji ulinzi kwani ulinzi huo unaoufikiria unahitajika kwa sababu gani?

Mimi ningependa wilaya ya Kyela iwe mfano wa kuigwa. Ni pale kila atakaetembelea wilaya hiyo katika miaka kumi ijayo baada ya 2010 aone faida ya kuwa na watu mbadala na mambo wanayoyafanya wilayani humo ya maendeleo.
 
kajinyonge ndugu yangu.mwakalinga yuko hatua kumi mbele.akiingia mjengoni kila mwanakyela anakula laptop.

Ha ha ha ha hah,

yale yale mawazo potovu kuwa Tanzania ikijiunga jumuia ya kiislam basi nchi itapata misaada kibao toka kwa waarabu. Hii tabia ya kimasikini ya utegemezi sijui inatoka wapi?! Yaani sera ya Mwakalinga ni kutoa laptop kwa wanakyela kama (if ....then what) wakimchagua?!

Hivi tunavyozungumza mwakalinga inabidi apewe ulinzi mzito kwani wafuasi wa mwakyembe wameanza kuchanganyikiwa.

Hah ha..... Kazi kweli kweli!
 
Hongera mkuu na huo mwendo wako mdundo wenye chuki kali dhidi ya wakristo wa Kyela.

Mwakalinga ni mkristu wa Kyela.chuki zipi ndugu yangu?
mimi siku zote naamini JF ni one family sasa wewe unaumia kuona Mwakalinga anakuwa mbunge?

nilitegemea wewe ungekuwa wa kwanza kum support,imekuwa kinyume chake ni chuki na hasira,BILA MWAKALINGA jf LABDA ISINGEKUWEPO.
Mwakalinga OYEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!
 
mkuu vaa mawani......hebu soma ile quote aliomwambia maxence......hana mpango wa kugombea......anyway
nataka nijue uzoefu wake kama mhazini wa tanzanet aatwafanyia nini wana kyela....

Jamaa ni kama Mzee Jangala, haeleweki wala hana msimamo, alitamka kwa kimya chake leo anakula matapishi yake! Hafai kabisa huyo wanakyela mumuogope huyo

Bw. Mwakalinga ambaye ni mtaalamu mwandamizi wa kompyuta na simu ana shahada ya pili ya Sayansi ya Kompyuta aliyoipatia katika Chuo Kikuu cha Wroelaw nchini Poland pia ni mtaalamu ya Biashara

Bado hii ni elimu ndogo sana kwa kuwasaidia wanakyela, kama mpaka sasa hajafanya kitu sidhani kama atawasaidia waiga kura kule...
 
Back
Top Bottom