Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Mwakalinga ni mwenzetu hivyo ni bora kuliko Mwakyembe.
ubora wake upi? mbona unakomaalia ubora ubora tushawishi bana tumkubali mwakalinga.....tuambie wmakalinga ni bora kwa 1.....2.....3....4
 
1.MWANA JF mWENZETU HIYO NI SIFA YA MSINGI KAMA NYERERE ALIVYOMUUNGA MKONO MTOTO WAKE INGAWA ALIKUWA CHAMA KINGINE.MIE SIO CHADEMA ILA NIKISIKIA KITILA MKUMBO ANAGOMBEA NITAMUUNGA MKONO KWA UJF KWANZA.

2.AMEISHI ULAYA KWA ZAIDI YA MIAKA 18 ANA EXPOSURE KUBWA KAMA ALIVYO RAIS WA LIBERIA ALIYEKAA MUDA MREFU MAREKANI.

3.AMEJIFUNZA DEMOKRASIA KWANI ALIKUWA AKISHIRIKI SIASA ZA ULAYA AMBAKO KWA KIASI KIKUBWA WAMETUZIDI KITU AMBACHO MWAKYEMBE HANA.

4.AMEJADILI MIJADARA MINGI HAPA JF,AMESOMA MIJADALA MINGI HAPA TOFAUTI NA MWAKYEMBE AMBAYE TUME YAKE INAWEZA KWA KIASI KIKUBWA ILICHUKUA MICHANGO YA JF KAMA KAZI YA MWANAKIJIJI KUFUATILIA SUALA LA RICHMOND.ZAIDI YA RICHMOND MWAKYEMBE HAKUNA ALILOFANYA.

5.MWAKALINGA ANA CONNECTION NA TAASISI NYINGI ULAYA HIVYO KUPELEKA MAENDELEO JIMBONI KWAKE HAITAKUWA TATIZO KUBWA.TOFAUTI NA MWAKYEMBE.

6.MWAKALINGA AMEISHI NA MATAIFA MBALI MBALI YAMEONGEZA UWEZO WAKE WA MAARIFA NA UFAHAMU KULIKO MWAKYEMBE AMBAYE MAISHA YAKE YOTE NI KWENYE KOTA ZA UDSM.
 
Huyu Mwakalinga akikubali kupigiwa debe na watu wabaguzi wa kidini kama kanda2 atakwishilia mbali. Huko Kyela mafundamentalist wa kiislam kama huyu kanda2 sio wengi.
 
Duuh!! yamekuwa haya.

Mwakyembe wala Selelii sio mashujaa kama mnavyofikiri,walikosa vyeo wanafikiri na kuamini LOWASA NDIO SABABU KUU.

Mwakalinga ni kati ya watu ambao naheshimu michango yao hapa, sijawahi kukwaruzana nae, amekuwa akinishauri na kunipa maelekezo mengi kupitia PM hapa JF KWANGU mimi Mwakalinga ni kisma cha busara nimejifunza mengi ninaheshimu hazina ya elimu na uoni mkubwa alio nao. yupo hapa toka mwanzoni mwa mwaka 2006 yanapotajwa mafanikio ya JF basi yeye,MWANAKIJIJI,GT,Field marshal ES hawakosi..
 
Mwakalinga hata mimi namfahamu na ninafahamu ID yake hapa JF. Michango yake haina udini na kashfa kwa wakristo kama ya kwako. Ikionekana kama watu kama wewe (wenye chuki za kidini) ndio mnampigia debe Mwakalinga basi amekwisha.

Kyela hawatakubali watu wenye chuki za kidini kama wewe. Na kama yeye Mwakalinga ni rafiki yako na anakubaliana na unachoandika basi itabidi Dr Mwakyembe apewe chapisho la maandishi yako na awaoneshe watu wa Kyela ili wamjue rafiki yake Mwakalinga.
 
Mwakalinga yuko huru haongozwi na jazba wala UDINI.

YUKO HAPA KABLA YAKO,JASUSI NA YOYO.MWAKALINGA NI MENTOR WANGU.USIANZE KUMPIGIA KAMPENI MWAKYEMBE ACHA WATU WA KYELA WAAMUE.WAMEPATA MSOMI MWENYE INTERNATIONAL EXPOSURE WASIJICHELEWESHE NA MWAKYEMBE ANASUBIRI MABOMU DHIDI YA LOWASSA WAKATI JIMBONI WATU WANALIA NJAA.AENDE MONDULI AKAONE MAENDELEO YA LOWASSA.

MBONA OBAMA YUKO KARIBU NA RAIS WA IRAN
 
Kama ni mwenzetu na kweli anataka kugombea ubunge, aje hapa aweke msimamo wake katika issue muhimu zinazokabili wananchi na taifa kwa ujumla. Siasa za mwaka 47 hazipo tena hapa Tanzania, ni kuwang'oa mmoja baada ya mwingine.
 
Mwakalinga yuko huru haongozwi na jazba wala UDINI.

YUKO HAPA KABLA YAKO,JASUSI NA YOYO.MWAKALINGA NI MENTOR WANGU.USIANZE KUMPIGIA KAMPENI MWAKYEMBE ACHA WATU WA KYELA WAAMUE.WAMEPATA MSOMI MWENYE INTERNATIONAL EXPOSURE WASIJICHELEWESHE NA MWAKYEMBE ANASUBIRI MABOMU DHIDI YA LOWASSA WAKATI JIMBONI WATU WANALIA NJAA.AENDE MONDULI AKAONE MAENDELEO YA LOWASSA.

MBONA OBAMA YUKO KARIBU NA RAIS WA IRAN

Wako wengi tu wana-exposure ya nje na mwezini lakini ndio MAFISADI namba moja kuliko wewe unavyofikiri.
 
Mwakalinga yuko huru haongozwi na jazba wala UDINI.

YUKO HAPA KABLA YAKO,JASUSI NA YOYO.MWAKALINGA NI MENTOR WANGU.USIANZE KUMPIGIA KAMPENI MWAKYEMBE ACHA WATU WA KYELA WAAMUE.WAMEPATA MSOMI MWENYE INTERNATIONAL EXPOSURE WASIJICHELEWESHE NA MWAKYEMBE ANASUBIRI MABOMU DHIDI YA LOWASSA WAKATI JIMBONI WATU WANALIA NJAA.AENDE MONDULI AKAONE MAENDELEO YA LOWASSA.

MBONA OBAMA YUKO KARIBU NA RAIS WA IRAN

Mwakalinga kuwa hapa kabla yangu haimpi nguvu yoyote ya hoja zaidi ya zangu. Hoja hazipimwi kwa umri wa mtu.

Mwakalinga akizidi kujihusisha na watu wenye chuki na jaziba za kidini dhidi ya wakristo (kama wewe, Game Theory, na mafundamentalist wenzenu hapa) basi chance zake za kushinda Kyela zinapungua sana bila kujali anagombea dhidi ya nani.
 
mwakalinga kuwa hapa kabla yangu haimpi nguvu yoyote ya hoja zaidi ya zangu. Hoja hazipimwi kwa umri wa mtu.

Mwakalinga akizidi kujihusisha na watu wenye chuki na jaziba za kidini dhidi ya wakristo (kama wewe, game theory, na mafundamentalist wenzenu hapa) basi chance zake za kushinda kyela zinapungua sana bila kujali anagombea dhidi ya nani.

kuna msemo old is gold.usingeikuta jf hapa ilipo kama si michango mizuri ya mwakalinga.

Mimi sina chuki na wakristu kwanini niwachukie binadamu wenzangu? Hatufundishwi kuchukia watu ila kusema ukweli,sasa naamini ukweli wangu ndio unaokuchoma wewe,jasusi na yoyo.
Unajua jana nilimbana mzee mtei na nilijua nitatengeneza maadui wengi kweli leo nayaona.nikibana zitto sio mdini ila akikaliwa kooni nyerere na mtei kosa.
 
Hakuna chochote alichofanya Mwakalinga kinachompa mkono wa juu (upper hand) kwenye hoja. Watu wote wana nafasi sawa bila kujali wameingia lini.

kurudi kwenye issue ya uchaguzi wa Kyela, wewe ni mdini na una ubaguzi wa kidini. Umetoa maneno ya kashfa dhidi ya wakristo na dhidi ya Nyerere kwa sababu ya dini zao. Umeonyesha chuki kubwa dhidi ya wakatoliki na wakristo kwa ujumla ambao ndio wengi huko Kyela.

Mwakalinga asipokana hoja zako za kibaguzi na chuki mbaya ya kidini, nafasi yake ya kushinda Kyela itakuwa ndogo sana.
 
1.MWANA JF mWENZETU HIYO NI SIFA YA MSINGI KAMA NYERERE ALIVYOMUUNGA MKONO MTOTO WAKE INGAWA ALIKUWA CHAMA KINGINE.MIE SIO CHADEMA ILA NIKISIKIA KITILA MKUMBO ANAGOMBEA NITAMUUNGA MKONO KWA UJF KWANZA.

2.AMEISHI ULAYA KWA ZAIDI YA MIAKA 18 ANA EXPOSURE KUBWA KAMA ALIVYO RAIS WA LIBERIA ALIYEKAA MUDA MREFU MAREKANI.

3.AMEJIFUNZA DEMOKRASIA KWANI ALIKUWA AKISHIRIKI SIASA ZA ULAYA AMBAKO KWA KIASI KIKUBWA WAMETUZIDI KITU AMBACHO MWAKYEMBE HANA.

4.AMEJADILI MIJADARA MINGI HAPA JF,AMESOMA MIJADALA MINGI HAPA TOFAUTI NA MWAKYEMBE AMBAYE TUME YAKE INAWEZA KWA KIASI KIKUBWA ILICHUKUA MICHANGO YA JF KAMA KAZI YA MWANAKIJIJI KUFUATILIA SUALA LA RICHMOND.ZAIDI YA RICHMOND MWAKYEMBE HAKUNA ALILOFANYA.

5.MWAKALINGA ANA CONNECTION NA TAASISI NYINGI ULAYA HIVYO KUPELEKA MAENDELEO JIMBONI KWAKE HAITAKUWA TATIZO KUBWA.TOFAUTI NA MWAKYEMBE.

6.MWAKALINGA AMEISHI NA MATAIFA MBALI MBALI YAMEONGEZA UWEZO WAKE WA MAARIFA NA UFAHAMU KULIKO MWAKYEMBE AMBAYE MAISHA YAKE YOTE NI KWENYE KOTA ZA UDSM.
-bwa ha ha ha ha naombeni kabla ya mtu kujisajili JF iwepo pragramu maalum ya kumnoa bongo il aendane na mijadala humu.....this is very low wakuu......
 
kwa kigezo cha Mwakyembe sio Mwakalinga.
 
Kwani SISIEMU ndo chama pekee tu ambacho mtu lazima agombee kupitia kwenda Bungeni? Mie ningependa na Mwakyembe aibiwe kwenye kura za maoni. Hapo ndipo mtajua tofauti ya UTAJO na UTAMU.
 
huyo mwakalinga fisadi tu kama alikuwa anaishi UK atayajuaje matatizo ya kyela leo hii kaletwa na EL na RA na wakakutuma wewe ulieleta hii hoja hapa janvini ili kupima upepo na it is so funny kyela ni mwakyembe daima mbunge wa taifa ana adress matatizo ya watanzania wote ninyi mafisadi nguo zinawabana saivi tutaona huko mbele nani mshindi kati ya nguvu ya umma na pesa za kifisadi za mwakalinga na supporters wake.
i submitt.
 
Hao wanaosemea chinichini ni hurka yao ,hawafungamani ndivyo walivyo, kwani wakati mwakyembe anamsema Lowasa alikuwa mbunge wa chadema kwa wakati huo.?

Hao wanaoshindwa kuwakilisha jamii yao iliyowatuma ndivyo walivyo ni mafisadi kwa asili yao ila walikuwa hawana mahala pa kufisadi ,wala haitegemi katoka chama gani.

kuna msemo unasema ukitaka kujuwa tabia ya mtu mpe fedha.Hao unaofikiri wanabweka wanapokuwa upinzani ,huwezi juwa wanabweka kwa sababu gani na vigezo vipi.usipate kujiridhisha kwa mbweko huo kuna siku wata kudisapointi mpaka ushangae.

Hivi wewe unafikiri Simba anapokuwa na nyumbu wake/swala akijipatia kitoeo harafu fisi wamemzunguka wakibweka wewe unafikiri wale fisi wanambwekea simba eti ya kwamba simba anamwonea yule nyumbu/swala.?

Mchungaji mwema ni yule anayebeba mkuki na kukutana na simba ktk uwanja wa mapambano ana kwa ana .

Heri anayebweka hata kama ana doa kuliko anayekaa kimya! Aidha ukiona mtu anabebwa na viongozi basi ujue huyo ni feki maana mtu mwadilifu na anayejiamini hawezi kutaka kupita migongoni mwa viongozi ili apate kuchaguliwa na wananchi. Kama Mwakalinga anataka kubebwa na akina Mwakipesile ama Mwakasumi basi hatufai wana Kyela!! Twataka mtu jasiri kama Mwakyembe ambaye anaweza kupambana hata ma magogo ya serikalini kama alivyofanya kwa Lowassa.
 
1.MWANA JF mWENZETU HIYO NI SIFA YA MSINGI KAMA NYERERE ALIVYOMUUNGA MKONO MTOTO WAKE INGAWA ALIKUWA CHAMA KINGINE.MIE SIO CHADEMA ILA NIKISIKIA KITILA MKUMBO ANAGOMBEA NITAMUUNGA MKONO KWA UJF KWANZA.

2.AMEISHI ULAYA KWA ZAIDI YA MIAKA 18 ANA EXPOSURE KUBWA KAMA ALIVYO RAIS WA LIBERIA ALIYEKAA MUDA MREFU MAREKANI.

3.AMEJIFUNZA DEMOKRASIA KWANI ALIKUWA AKISHIRIKI SIASA ZA ULAYA AMBAKO KWA KIASI KIKUBWA WAMETUZIDI KITU AMBACHO MWAKYEMBE HANA.

4.AMEJADILI MIJADARA MINGI HAPA JF,AMESOMA MIJADALA MINGI HAPA TOFAUTI NA MWAKYEMBE AMBAYE TUME YAKE INAWEZA KWA KIASI KIKUBWA ILICHUKUA MICHANGO YA JF KAMA KAZI YA MWANAKIJIJI KUFUATILIA SUALA LA RICHMOND.ZAIDI YA RICHMOND MWAKYEMBE HAKUNA ALILOFANYA.

5.MWAKALINGA ANA CONNECTION NA TAASISI NYINGI ULAYA HIVYO KUPELEKA MAENDELEO JIMBONI KWAKE HAITAKUWA TATIZO KUBWA.TOFAUTI NA MWAKYEMBE.

6.MWAKALINGA AMEISHI NA MATAIFA MBALI MBALI YAMEONGEZA UWEZO WAKE WA MAARIFA NA UFAHAMU KULIKO MWAKYEMBE AMBAYE MAISHA YAKE YOTE NI KWENYE KOTA ZA UDSM.

Shame on you! Ulaya my foot!! Kuishi Ulaya maana yake nini? Tunataka mtu ambaye ameishi na wananchi nchini na anayajua vyema matatizo ya wananchi. Mwakalinga kama ameishi ulaya miaka 18 basi hatufai kabisaaaaa kwa sababu kwa miaka yote hiyo alikuwa anatakiwa awe hapa nchini akishirikiana bega kwa bega na wananchi. Atakachokifanya Mwakalinga ni kutaka kuwakoga wananchi kwamba yeye katoka 'kubulaya'. No, hatutaki mtu wa namna hiyo hatufai kamwe!
 
Hakuna mtu mwenye hati miliki ya jimbo. Kwa mtazamo wangu, wanapotikana wagombea wengi wenye sifa, kunaweza kuleta chachu kwa waliochaguliwa kuwatumikia vyema wananchi.
 
Mwakalinga ameisha shindwa kabla hata ya uchaguzi! Hana sera zaidi ya kuwa na kajihoteli huko, kuweni makini wana Kyela hawa mamluki watakuja na njia nyingi, usiache kusoma ulw mwongozo ulotolewa na Kanisa!
mwakyembe aingie chadema ndo kwenye demokrasia ya kwelii..kauli zake haziendani na chama (nguo alizovaa zenye matobo) alichopoo
 
Back
Top Bottom