Trump apindishi pindishi manenoMauaji haya nilitegemea ayasemee kidogo
Unajuaje kama hana interests?Mauaji haya nilitegemea ayasemee kidogo
D9 tunatokaHakuna atakayekuja kukuokoa wewe zaidi ya kujiokoa mwenyewe.
Tumekubaliana hakuna kulia lia wala kutiisha huruma.
Aidha tukubali tunachofanyiwa au tuchukue hatua kukata minyororo ya marudio.
Kulalamika na kutegemea mwokozi kutoka nje hakujawahi kutusaidia.
We need to play our partMauaji haya nilitegemea ayasemee kidogo
Sahihi, lakini....... Afghanistan alisaidoa kuwafurusha taleban ingawa baadaye aliwarudisha kitawalaHakuna atakayekuja kukuokoa wewe zaidi ya kujiokoa mwenyewe.
Tumekubaliana hakuna kulia lia wala kutiisha huruma.
Aidha tukubali tunachofanyiwa au tuchukue hatua kukata minyororo ya marudio.
Kulalamika na kutegemea mwokozi kutoka nje hakujawahi kutusaidia.
Nakubali sana, ila unapoelemewa unaomba msaadaWe need to play our part
Lazima kwanza tupige tukio la kuishangaza Dunia kama kulipua BandariNakubali sana, ila unapoelemewa unaomba msaada