Kwetu rais kama Mungu hataniwi kwa mabaya kwa wenzetu ni raia kama wengine

Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
6,054
4,601
Fikiria huyu angekuwa hapa Tanzania


Ama huyu raia wa South Africa



Viongozi wetu wanataka wawe kama malaika tusiwaguse.
 
Rais hatakiwi kuogopwa, yeye ni mfanyakazi wetu tunamlipa atufanyie sisi kazi anatakiwa achuje ushauri mzuri achukue usonatija apotezee vijineno vidogovidogo havitakiwi kumkwaza ataweka wangapi jela!? Anatengeneza taifa la manunda na mwisho wake ni mbaya sana, walisemwa manabii vibaya sembuse yeye!!
 
Back
Top Bottom