Kwetu pazuri!

Kwetu pazuri!

Filipo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
9,347
Reaction score
5,553
Usipime!
 

Attachments

  • MT KILIMANJARO.JPG
    MT KILIMANJARO.JPG
    405.6 KB · Views: 170
This mount is beautiful and wonderful!!

hIVI mT KLM ULI[PATA KURA NGAPI KWENYE KUINGIZWA KUWA NEW 7 WORLD WONDERS!!

Na hela kiasi gani zilipatikana katika kampeni ya sms?
 
This mount is beautiful and wonderful!!

hIVI mT KLM ULI[PATA KURA NGAPI KWENYE KUINGIZWA KUWA NEW 7 WORLD WONDERS!!

Na hela kiasi gani zilipatikana katika kampeni ya sms?

Sijui kuhusu idadi ya kura ila nakumbuka kutuma sms ilikuwa ni bure kwa sisi tunaotumia Airtel. Sijui wale "wanotumia tigo". Lol!
 
Hivi kama kupitia mlima Kilimanjaro tu ambao hauhamishiki tunaibiwa hadi wengi wanajua kuwa uko Kenya. Angalia Tanzanite, hadi jina linajieleza lakin tunaibiwa! Tutegemee nini kwenye madini yachimbwayo na wanyama wanaotembea? Pole Tanzania!
 
Me Nilidhania Mbinguni kumbe Moshi Meku aisee babangu Ngindei Shimbonyi Shafooo
 
kwetu pazuli bt serikali ni kimeo na inaharibu uzuri mpaka utalii unashuka
 
Wenzetu Kenya wanatucheeeka.

Shauri ya ubwege wenu ; wasomi mnao wengi lakini hamuwatumii kwa kuendekeza udini na siasa zenu za maji ya choo! Kila siku mtabakia kichwa cha mwendawazimu.!!!
 
Back
Top Bottom