daniel kalasha
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 548
- 72
Viloba bei gani hapo
jikoni pamesimama au
jikoni pamesimama au
Inawezekana hayo mambo yanachangia kuwafanya waende juu kibiashara.Ila kuwasaidia hao kina dada sijui tuanzie wapi..
Kwa kweli hii pub imekuja juu sana kibiashara lakini mambo yanayofanyika ndani huko ni balaa wadau hebu tusaidiane ili kuokoa dada zetu, biashara ya ngono iko juu sana pale
Inavyoelekea huyu jamaa alitangaza biashara ya Pub yake kiaina.....nashukuru mleta uzi kwa kuniongezea chimbo lengine la kujivinjiri.....nitatembelea weekend pande hizo...
Hahahahaaa....hata hivyo amejuaje wanauza kama hakununua, au anadhani kila mrembo anayeingia baa anajiuzafanya yaliokuleta maswala ya dada zenu hayakuhusu, walikuwa huko toka wewe upo kijijini
Mleta uzi kilio chako kimesikika, nasikia wanapavunja kwetu pazuri, na wameshaanza kupavunja taratibu, Mmiliki wa Tusiime schools ndo amevalia njuga swala hili