Kwetu pazuri pub Tabata: Wanaharibu maadili ya binti zetu

Serikari iiachalie hii fursa ya biashara ya ngono kwa jicho la tatu ili ione ni vipi itaweza kuitumia kukusanya kodi na kukuza pato la taifa,,kuiacha biashara yenye demand na currency circulation kubwa kama hii ni kuongeza leakage kwenye uchumi wetu,,ni muda mwafaka wa kufanya maamuzi magumu sasa!!
 
Hiyo sio bar ya kwanza kuwa na watu wa aina hyo,ko sioni kama hii ilipaswa kufunguliwa uzi..tuachie kiwanja chetu cha nyumbani...afu ukija kp ntakununulia novida,mi nakaaga apa karbu na dj micho


Kama umemind k.nya fenesi
 
Inabidi hawa dada zetu wajifunze kuishi kulingana na mazingira wanatia huzuni watu wengine........
 
Kwa kweli hii pub imekuja juu sana kibiashara lakini mambo yanayofanyika ndani huko ni balaa wadau hebu tusaidiane ili kuokoa dada zetu, biashara ya ngono iko juu sana pale

Bonge ya promo
Mkuu iko Tabata gani hii bar. mie napenda sana kunywa Castle lite huku binti anachezeya dush. Nielekeze nipotie Tabata leo jioni
 
Sasa mleta thread mie sikuelewi.
maana naona umeleta thread ili kuweka ushauri lakini wewe mwenyewe unajijibu humuhumu.
Aisee,kazi kweli,imekuwa kama vile Dictation
 
nashukuru mleta uzi kwa kuniongezea chimbo lengine la kujivinjiri.....nitatembelea weekend pande hizo...
 
Unapiga kelele kwani wamebakwa au wamelazimishwa? Je hao wasichana ni below 18?
Jaribu kutembelea Swis Pub hapo kaaribu na Kenton SS kuanzia jioni ya saa 12:30 na kuendelea ndiyo utakuja kuleta nyuzi nyingi zaidi ya hii
 
Mleta uzi kilio chako kimesikika, nasikia wanapavunja kwetu pazuri, na wameshaanza kupavunja taratibu, Mmiliki wa Tusiime schools ndo amevalia njuga swala hili
 
Mleta uzi kilio chako kimesikika, nasikia wanapavunja kwetu pazuri, na wameshaanza kupavunja taratibu, Mmiliki wa Tusiime schools ndo amevalia njuga swala hili

anaongeza eneo mkuu wateja walikua wengi hapavunjwi.pazuri sana pale
 
hivi wateja wao ni akina nani? wateja wakiacha kununua na wao hawatakuja hapo
 
Back
Top Bottom