Kama sio Mbezi basi kimara huwa hawana tofauti na mbagala....
Hapa nadhani turudishe ule utamaduniwa zamani w kupanda uda na kamata enzi hizo, unafika kituoni unapanga foleni kama unapiga kura vile wa kwanza kufika ndio anakuwa wakwanza kuingia kwenye gari

Hapa mkuu lazima pata kuwa Mwenge kituo cha kwenda Mbagala,maana kuna siku ilikuja gari na kituoni wako abiria watano cha kushangaza wanne kati yao wakakimbilia kurukia dirishani.
Mimi kila nionapo picha hiyo huwa najiuliza huyo konda anawaza nini kwani kama vile anasubiri kuangalia kitu fulani hivi ambacho ana uhakika kitatokea ili akiona