JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,497
- 18,298
kutoka Kahama,kwenda kakola,mpaka Geita,barabara ni mbaya sana,migodi hii,ingekuwa kilimanjaro,hizi barabara zingekuwa na taa kabisaHabari za muda huu wadau..?
Napenda kuwaleteen japo kidogo taarifa fupi kuhusu maendeleo katika wilaya yetu ya msalala na kijiji cha kakola.
Licha ya kuwa ni wilaya yenye uwekezaji mkubwa katika sekta ya madini namaanisha uwepo wa kampuni kubwa ya uchimbaji wa dhahabu inayomiliki mgodi wa bulyanhulu.maendeleo katika maeneo haya hasa kijiji cha kakola ni masikitiko makubwa,kwamba mpaka leo miaka takriban 19 ya uwekezaji bado hali si shwari.
Leo sitazungumzia yote hayo nataka kugusia kidogo swala zima la miundombinu ya barabara zinazoingia nakutoka hapa kakola ambapo ndo hasa mgodi huu mkubwa upo.kijiji hiki kinapakana na mkoa wa geita kwa upande mmoja na wilaya ya kahama kwa upande mwingine.kutoka pande zote hizo mbili kuja hapa hazizidi kilomita 78.
Barabara zote hizi zina hali mbaya kwakweli ikilinganishwa na thamani ya rasilimali za madini zilizopo eneo hili.aibu zaidi ni kuwa tuna wabunge wetu wawili(mbunge wa jimbo la msalala na mbunge wa nyang'wale) ambao kimsingi ndio wawakilishi wetu lakini hatuoni msaada wao katika hili.hasa huyu mbunge wa msalala hatumuoni kabisa akitembelea jimboni kwake mpaka siku za kampeni zikisogea ndio huonekana.
Juzi nilipata kutembelea wilayani msalala nikitokea hapa kakola,hali niliyoikuta ilikua mbaya na aibu sana katika barabara hii.
Na hizi ni picha ambazo zmetoka katika maeneo kadhaa ya barabara hii.
Tusaidiane kuwakumbusha hawa ndugu zetu kuwa hayo madaraka ni dhamana na mungu atawauliza siku ya mwisho.
Baada ya Kiwango kufariki, pale paliharibika kutokana na usimizi m-bovu.Kwa Kiwango wa security au..!? Usipasahau Ilogi..
Nimekumbuka mbali sana... NA YALE MABASI
Hatari sana......Nilikuwepo.... ilifanyika karibu na portable water plant.... NDO TUKAPEWA MAKAVU LIVE NA MKAPA KWAMBA WATANZANIA TUACHE WIVU KWA WAWEKEZAJI...
Na John bwana alivyokuwa anajipendekeza kwa wazungu, balaa
Wanaume wa Dar, mna tabu sanaWanajenga flyovers Dar,ninyi tabu yenu nini?si muhamie Dar
Wanataka flyover kama za ubungo na tazarabarabara mbona nzuri tu chapeni kazi acheni kulalamika
Na kuna mwingine alifariki akiwa anaendesha gari, mack II nadhani. Alikuwa anatoka kahama na kwamba alishinda kesi akalewa na mwishowe aliingia chini ya body ya lori iliyokuwa juu ya mapipa mitaa bugarama nadhaniBaada ya Kiwango kufariki, pale paliharibika kutokana na usimizi m-bovu.
R.I.P Kiwango
Marehemu Kidiku, alikua na dada yake aliitwa Pondo na kaka yake mwingine aliitwa Mnyama, wote walikua Security Department.Na kuna mwingine alifariki akiwa anaendesha gari, mack II nadhani. Alikuwa anatoka kahama na kwamba alishinda kesi akalewa na mwishowe aliingia chini ya body ya lori iliyokuwa juu ya mapipa mitaa bugarama nadhani
Yeah.. Jane namkumbuka sana....That was very sad kwa kweliMarehemu Kidiku, alikua na dada yake aliitwa Pondo na kaka yake mwingine aliitwa Mnyama, wote walikua Security Department.
Kidiku alikua ndio kwanza amemchumbia Jane aliekua security reception, na alifariki akiacha wamezaa mtoto mmoja na Jane.
R.I.P Kidiku....[emoji25]
Nadhani hapo badala ya nyasubi ulimaanisha "Masabi"?Hivi ukiwa unatoka segese ,nyasubi, hadi kijiji kimoja,kinaitwa ntobo,barabara Ina hali gani kwa sasa?nakumbuka siku za nyuma hali ikua mbaya sana.
Kuhila ndio nini mkuu.Nakuna migodi midogomidogo ya wachimbaji wadogo kama vile nyangalata,usulwangili,nyakagwe,kaloe n.k kodi selikali wanachukua tena mtu akihila ndo wanabana sana eti kuna asilimia wanachukua lakini hamna maendeleo yeyote
Hili neno nililikuta huku unafikili wenyeji wa huku watakua wamenielewa yaaani linamaani mtu aliye bahatika kupata dhaabu nyingi yakutosha kama sikoseiKuhila ndio nini mkuu.
Miaka hiyo nlkuwa mtoto nilikuwa mtoto, nlkuwa naona gari zinaijia wafanyakazi asbh hlf jioni zinawarudisha kijijini, zilikuwa hizi gari kubwa za mchanga tulikuwa tunaziita skansika, wafanyakazi wengi walikuwa wanakaa kwny gesti mbili hivi, moja ilikuwa inaitwa RoseKabla haijaitwa Barrick......
Ilikua ikiitwa Kahama Mining Cooperation Limited (KMCL).
Hapa ndipo nilipo shuhudia alicho pewa mkapa kama zawadi siku ya ifunguzi wa uzalishaji.
Ufunguzi huu nakumbuka ulifanyika ndani ya moja ya ghala la kuhifadhia madawa wakatiule likiwa bado jipya........
Na kisha baada ya Mkapa kupewa kile kilicho itwa zawadi..[emoji39].... Nakumbuka kilifungashwa na mmoja wa wakubwa wa kitengo cha ulinzi kwa jina la John Bwana, na kisha aliibeba zawadi ile kwenye sanduku madhubuti (safe box)...... Haooooo wakalipeleka kwenye uwanja wa ndege pale Bulyanhulu, tena zawadi ile ikiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Hahahha kumbe ninwewe duuuh..sku hiz dash haipo buana.Nimekumbuka siku nilipo ng'oa mzigo pale kibasini, kisha nikaenda kupanda nao DASH-8..... Mzigo hauja pandisha majini.....[emoji87] [emoji87].... Ilibidi ndege igeuke na kutua kwa dharura huku wakidhani kwamba ndege imetekwa....[emoji13] [emoji13]
Na hapo ndipo ilipo anzia sheria ya kwamba..... Yeyote anae taka kumpandisha mdada kwenye ndege ya kampuni, lazima athibitishe kwamba ni mkewe....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hatari sana DASH-8......[emoji12] [emoji12]