Kwenye Vicoba wanawake wanafundishwa Ngumi. Serikali ivifungie watatuua hawa, tuwe makini

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,995
28,584
Wakuu,

Vicoba anavyoenda mke wangu wanafundishwa na ngumi kabisa. Tafadhali serikali ivifungie haraka maana nimestuka kuona kumbe mama B anaweza kurusha teke na ngumi kama wachina.

Nimelibaini hili baada ya kujificha sehemu dirishani nikasikia anaongea na mwenzake kwamba waanze kunyanyua na vyuma ili wawe fit zaidi. Naona wamefika mbali kwa sasa wanawake wana agenda za siri lazima tustuke.
 
tea_mobama-_012515064953.jpg
 
Inabidi nianze kukaa kwa tahadhari sana maana naweza kujikuta nashushiwa kipigo kikali sana
 
Hapo atachukua TV, jiko la gesi,friji,feni nk apeleke kwa matapeli mjini akauze vyote shilingi elfu arobaini.
Ukileta kibesi utachezea vitasa
 
Kuna mwamba apa mtaani kwetu akohoi ata kwa mke wake anachezea mabanzi ayo Atari yaani hivi vikokoba hivi mi nawaangaliaga tu
 
Kuna mwamba apa mtaani kwetu akohoi ata kwa mke wake anachezea mabanzi ayo Atari yaani hivi vikokoba hivi mi nawaangaliaga tu

Yaani inabidi kukaa kwa umakini maana hata mkilala ukikoroma unastukia kofi limetua usoni unaulizwa kama unalala ulale usinipigie kelele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom