Kwenye mapenzi imani imekwisha

Mi mbona mwaminifu sana.niko 27 yrs na demu 1 hadi leo..hahaha just kidding
 
Hahahaaaa huuu mjadala siuwezi mie...natafuta Kamusi niangalia maana na ya Neno UAMINIFU na matumizi yake ndio niseme na mimi niko mwaminifu au lah
 
jamaa mwenye chake ame feel hug kiasi kwamba anaweza kufika lolz... kumbe mwenzie walaaaaaa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…