Kwenye mahusiano weka status yako pembeni

Pole sana
Pole wewe. Mimi sifanyi yote hayo mnayosema na maisha yanaenda sina malalamiko.
Shida zako wewe haziwezi kuwa za mtu mwingine, na kinyume chake pia.
 
Dada punguza jeuri utakosa mume au kama unaye atakukimbia
 
Raha ya mwanamke useme asikie na sio mnajibizana ... Mwanamke ukitaka umkamate mwanaume mpe heshima yake , mwanamke mbishi na mjeuri huwa afiki mbali na mwanaume anayejitambua mwenye akili zake. Status ya Baba yako , Babu yako au familia yenu usiilete kwenye mapenzi walingie watu mitaani huko na kazini kwako.
Jua likianza kuzama nao ndio wanaanza kushinda makanisani.
 
Raha ya mwanamke useme asikie na sio mnajibizana ... Mwanamke ukitaka umkamate mwanaume mpe heshima yake , mwanamke mbishi na mjeuri huwa afiki mbali na mwanaume anayejitambua mwenye akili zake. Status ya Baba yako , Babu yako au familia yenu usiilete kwenye mapenzi walingie watu mitaani huko na kazini kwako.
umekula mchana lakini au upo bize na kuandika uzi
 
Vipi mzee baba umelikanyaga nini embu tupe kinaga ubaga
 
Back
Top Bottom