Kwenye Hotuba yake alitumia Msemo Ambao Umekuwa Maarufu Sana Duniani.Andika Huo Msemo.


I have a dream that one day this nation will rise up and liveout the true meaning of its creed: "We hold these truths to beself-evident, that all men are created equal."<o></o>
We cannot walk alone.<o></o>
And as we walk, we must makethe pledge that we shall always march ahead.<o></o>
We cannot turn back.<o></o>
<o> </o>
 
KirilOriginal, wewe mkali mzee! Kweli kabisa. Huyu bwana katika hotuba yake alitumia msemo wa 'I have a dream' na msemo huo unasherehekewa na wanyonge wanaotaka kujikwamua kwenye ubaguzi. Thanks man!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…