Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Hanari wana JF, ni muda mrefu hatuja jadiliana hapa lakini hii ni kutokana na mambo mengi ambayo tumekuwa tukijaribu kufanya. Mengi yemefanikiwa na machache yamekuwa kama changamoto kwetu kuendelea kujifunza.
Kwa siku ya leo nilikuwa naomba wadau wenye muda wa kutoa maoni kuhusu tovuti hii mpya ya Kwenye.Bio tovuti hii ni kama ilivyo Linktree lakini hii ikiwa na vitu vingi zaidi na uwezo wa kufanya mambo mengi zaidi. Ningependa yoyote mwenye muda ajaribu tovuti hii kisha atoe maoni anaonaje au kitu gani kibadilike kwenye tovuti hii. Kwa sasa bado yapo marekebisho kadhaa yanayo endelea hivyo popote utakapo shindwa kutumia tovuti hii unaweza kuwasiliana nasi hapa.
Tunasubiri maoni yenu. Tuna tanguliza shukrani za dhati.
kwenye.bio

Kwenye Bio - Tanzania First Link Kwenye Bio
Kwenye Bio is Tanzania First link kwenye bio, with kwenye.bio you can use multiple links in your social media profiles.