Mfyuuu ππππππNimeokoka nampenda Mungu...
Salamu zimefikaMsalimie sana
Nimekupenda pia mkuuπNimeku,,, mwaisa
Hakika tunapendana sanaπNimekupenda pia mkuuπ
Lisichukue muda hili, harusi jmosi tumalize kabisaππ hii ni zaidi ya maharage ya mbeya aiseeππ½πHakika tunapendana sanaπ
Tusirembe wala kuchunguzana sana, ni fasta tu mwaisaLisichukue muda hili, harusi jmosi tumalize kabisaππ hii ni zaidi ya maharage ya mbeya aiseeππ½π
Tutalia zaidi ya ambulance ππππ½Tusirembe wala kuchunguzana sana, ni fasta tu mwaisa
Sidhani πTutalia zaidi ya ambulance ππππ½
MKOA WA CHALAMILA π€£Kuchunguzana mzee usipokuwa makini unaweza lambwa na nusu ya mkoa!
Inategemeaa, unaweza usilambe kitu pia!πMKOA WA CHALAMILA π€£
Mimi nizungushe hata miaka ila kikubwa unipe tu.
Fresh pia ila ukinipa sikataiInategemeaa, unaweza usilambe kitu pia!π
Hamkataagi hata hivyoπFresh pia ila ukinipa sikatai
Inategemea mbona kuna niliowatolea njeHamkataagi hata hivyoπ
Mi nizungushwe tu, lakini nikija kupewa nisiikute inafanana na zingine. Nikiikuta inafanana, navaa nasepa!Habari ya sikukuu wana jf wote bila shaka mko salama leo mmetulia majumbani hadi raha..
Niende straight kwenu wanawake wenzangu hivi nini huwa sababu ya kumzungusha mwanaume anapokutongoza?
Yaani mtu amekupenda au amekutamani amekupa sera zake pengine umezielewa lakini kukubali mpaka upige danadana pengine mpaka miezi inakuaga kwa ajili ya nini haswaππ
je ndio haiba ya kike?
mnakua mnachunguza?
inaongeza hadhi au thamani?
inafanya mtu azidi kukupenda?
au ni mapozi tu?
Na nyie ndugu zangu wanaume kipi huwa bora kwenu
anaekubali au kukataa straight ama anaepiga danadana ?
Labda wagonjwa nyingine zote mnajipigiaa tu!Inategemea mbona kuna niliowatolea nje
kwamba utakuta ya goldMi nizungushwe tu, lakini nikija kupewa nisiikute inafanana na zingine. Nikiikuta inafanana, navaa nasepa!