blessed chiqqah
Senior Member
- May 19, 2024
- 135
- 381
daaah nishakua braza ila fresh mwanetuWanatusumbua sana braza Bora umetusemea
miezi 3 jeEty ili wasionekane maji mara moja π
Anyway, danadana iwepo Ila sio mpaka kuchoshana sasa, mbona wiki moja inatosha ili usionekame maji mara moja.
N upuuzi huumiezi 3 je
Nimekuelewa kishenz u catch my feelings ππππππmi sivungi sijui Evelyn Salt na Joanah
Safi, chap kwa haraka, wote watu wazima hakuna haja ya kujifanya huelewi hitaji la anayekufataπππππmi sivungi sijui Evelyn Salt na Joanah
mengine yatajisortSafi, chap kwa haraka, wote watu wazima hakuna haja ya kujifanya huelewi hitaji la anayekufata
hunishindi mie ba mpenziNimekuelewa kishenz u catch my feelings π
Tatizo n kwamba huyo unayemchunguza nae anakuwa kwenye mode ya kujiandaa kuchunguzwa so usitegemee utaona baya kwake kwa kipindi hiko cha kumchunguza, so kulambwa pako pale pale.Kuchunguzana mzee usipokuwa makini unaweza lambwa na nusu ya mkoa!
Babe vipiπKuchunguzana mzee usipokuwa makini unaweza lambwa na nusu ya mkoa!
πππKuchunguzana mzee usipokuwa makini unaweza lambwa na nusu ya mkoa!
Unachunguza nini?Kuchunguzana mzee usipokuwa makini unaweza lambwa na nusu ya mkoa!
ko iwe ile kama nataka alafu sitakiMimi napenda nizungushewe ili nipate munkari ila sasa isiwe zaid ya 2 weeks na ukienda sana iwe mwezi. Na kuwe na viashiria unanitaka pia. Sio unakula hela zangu alafu uje uchomoe... Nitakunywesha Bi alafu hautasahau
Wow,,,nimekusubiri kwa muda mrefu sana ulikuwa wapi dahπ I wish ningekujua mapemahunishindi mie ba mpenzi