Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,791
...
Sio hatari tu. Wanawake ni mashetani. Hata ukimuona mwanamke mpole mtaratibu ndani yake ipo tu roho ya kishetani. Tangu Eva wa Adamu akutane wa kwanza na shetani kule bustanini. Shetani akaona hii ndio nafasi ya kumpata binadamu. Akamuingia akakaa huko. Mwanamke ipo roho ya kishetani ndani yake.Mi nilitegemea nione midahalo, misimamo ya wao kwa wao kukosoana ila wao wapo kimyaa
Hii inaonyesha wao lile tukio wanaliona ni la kawaida sana
Wanawake ni viumbe hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Vema KiongoziHabari zenu,
Yaani katika viumbe vinavyoongoza kwa roho mbaya Duniani mwanamke anashika namba 1.
Mwanamke ataweza kumchukia mwanamke mwenzake sembuse wewe mwanaume.
Mwenzenu yule baladhuri juzi kamuua mtoto wa watu huko Arusha, mtoto wa watu kateswa mpaka kauona umauti.
Mwanamke yule kambutua kwa ligongo maskini mtoto wa watu maumivu kila mahali.
Video aliyochukua ukimuangalia vizuri yule dada wa watu (maskini R.I.P) itazame vizuri, tazama lips zake utagundua zilikuwa kavu, pia mwangalie vizuri utaona kama kapoteza nuru, yaani akitazama haoni na alikuwa kama kaduwaa.
Ile haiji kwa bahati mbaya, ukishinda na njaa kwa muda mrefu kuanzia masaa 36 mwili unaanza kupungukiwa maji, ikizidisha hapo unaanza kupoteza nuru na kumbukumbu.
Okay sasa plus kipigo ndiyo utagundua mtoto wa watu aliteseka kiasi gani. HALAFU kuna kitu watu hawakifikiriii. PHYSIOLOGICAL TORTURE aliyopitia yule mtoto, maneno ya kuumiza na kuua moyo ni kitu kibaya kuzidi vyote.
Halafu sasa maskini mtoto wa watu alikuwa anajaribu kutoa majibu sahihi "Kibox kipo chini ya meza" ona sasa yule shetani, mwanamke alivyo na roho mbaya, anamjibu " Meza ina uvungu?" Kweng! Paaah! Nakuuliza Meza inauvungu?"
Umeelewa nini hapo?
Maana yake alikuwa anamwonesha kwamba 'I have no mercy', yaani hata unijibu nini nitakulabua na nitakushindisha njaa na kukutesa, na huku nakurekodi.
Unajua nini maana ya kumrekodi?
Apate ya kumsengenya pindi atakapo kutana na MASHETANI wenzie.
Huyo ndo mwanamke, na wenzake wapo kimya.
Kwanini hili?
Sijaona wala sijasikia wale ma activist wanawake wanaopigania haki ya mwanamke dhidi ya mwanaume wakilaani na kukemea hili, wanawake mnajifanya mmeguswa ila kiuhalisia humo majumbani mwenu mnayafanya zaidi ya haya. Mnasengenyana wenyewe kwa wenyewe, mnatukanana na kulumbana.
Muache kujifananisha na wanaume, kama lile swala angelifanya mwanaume tayari tungemsikia Makonda kukemea, wanaume tungesimama kukemea, mapadri na mashehe wangekemea pia ila ninyi mpo kimyaaa.
Nilitegemea nione midahalo ya kinamama humu wakiitana kulijadili hili, wakikumbushana kupendana wao kwa wao lakini wapi.
Kwa hili, niseme tu nyinyi kufikia level alizo MWANAUME bado sana ile 50% mnayoitafuta mngenza kwanza nyinyi kwa nyinyi, maana kamwe hamtoweza kuifikia mtaishia hukohuko kwenye 16% mkizidi sana 19.3%.
Mmenikera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wengi wapo kimya??? Una uhakika au unabwabwaja tu ndugu. Muwe mnaongea kitu cha uhakika..mitandaoni wengi waliolizungumzia na kulikemea ni wanawake.Yote uliyoyaongea ni kweli tupu, wanawake wengi wako kimya kuhusu lile tukio, vyombo vya habari navyo sio kivile, taasisi zinazotetea haki za akina mama nazo zimemute.
Lile tukio lingefanywa na mwanaume + ushahidi Wa video alafu mtoa mhukumu mwanamama, sipati picha iyo adhabu yake ingekuwaje.
Kwani wanaowakula mashoga ni wanawake?Vyote mkuu, kwa roho nzuri na mbaya vyote hawatufikii,
We ukitaka kujua sisi hatuwezi kukaa kimya kwa maswala yanayovuka mipaka, Tazama swala la ushoga
Lilivyoletwa woote tuliungana tukasimama kulikemea
Sent using Jamii Forums mobile app
AMEN!Wanawake wengi wapo kimya??? Una uhakika au unabwabwaja tu ndugu. Muwe mnaongea kitu cha uhakika..mitandaoni wengi waliolizungumzia na kulikemea ni wanawake.
Hebu nionyeshe mwanaume aliyelizungumzia hili tukio kwa kukemea nimjue.
.
.
Acheni chuki za kijinga against wanawake. Binadamu yoyote yule anaweza kuwa na roho mbaya. Ina maana hakuna matukia ya kutisha yaliyotendwa na wanaume. Nyie mnajiona malaika sana..kwa lipi?
PUMBAVU ZENU WOTE WENYE MTAZAMO KAMA WAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia kubwa ya mauaji katika dunia hii yametendwa na mwanaume.Kwani wanaowakula mashoga ni wanawake?
Huwa wanasubiri mwanamke akosee wapate pa kuanzia.Asilimia kubwa ya mauaji katika dunia hii yametendwa na mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app