blessed chiqqah
Senior Member
- May 19, 2024
- 114
- 300
- Thread starter
- #21
ndiioš„¹Jamaa amekudinya hajakuachia hela ? Unawaza Lodge alilipaje sio
ndiioš„¹Jamaa amekudinya hajakuachia hela ? Unawaza Lodge alilipaje sio
kumbe ehKila mtu anahelaa ila tu kweny matumiz na priorities ndo tunatofautiana mtu na mtu
kwasababu sijapewašTuachane na ishu za pesa ya lodge.
Wewe kwanini huna hela sasa?
Embu tuliweke sawa hili kwanzaNimekaa hapa sina cha kufanya hela sina nikaanza kuwazašš kwenu wanaume naomba mniambie leo
ndo nawaza ametoa wap sasaUsikute kanyimwa hela ya kuliwa, ila mwamba ya loji anayo..!!
sina kaka wala baba šKaka na Baba zako wao wamekupa jibu gani lisiloridhisha mpaka ukaamua kuja huku?
niache bamdogoššMamdogo umeongea kwa hisia na uzoefu wa kileleni..!!
Sasa si uombe kuliko kujizungusha.kwasababu sijapewaš
naomba hela šSasa si uombe kuliko kujizungusha.
Sh ngapinaomba hela š
yoyote tušSh ngapi
Sijaingia Jfs siku nyingi!Nilidhan pamebadilika!... Ila ukwel ni kwamba waTz wengi ni wendawazimu.
sijaingia siku nyingi leo nimeingia nimekutana na wewe punguaniWewe ni uyoga.sina kaka wala baba š
ndioWewe ni uyoga.
ntakununulia sodaHata mimi nimeshangaasijaingia siku nyingi leo nimeingia nimekutana na wewe punguani
Full Fungus Miss Fungi.ndio
hadi rahaFull Fungus Miss Fungi.