Kwenu wanaume wenzangu wooote!!

Upele umekabidhiwa kwa mkunaji! Asante dada lara 1!
 
mtoto akikua na amekwenda shule vizuri kazi anayo eeehh kidume kinajitokeza na mbwembee kibao
 
mtoto akikua na amekwenda shule vizuri kazi anayo eeehh kidume kinajitokeza na mbwembee kibao

tena ndo wanakuja na ukoo wao, vikao vingi vya usuluishi, sijui shetani alimpitia!we men are not serious for sure
 
mimba aruke futi 100,mtoto amuone mtamu!!!!!

wanaume dizaini hizo wanaboa mbaya

Kinachoshangaza ni kuwa wamama wengi huwa wanawashauri watoto wao wa kiume kutokukubali mimba kirahisi, especially kama hamuishi pamoja na mdada aliyebeba mimba, na
hamjatambulishana rasmi kwa wazazi.
Hapa inabidi tuwaulize nyie wadada/wamama mtueleze mna siri gani?
 

another new experience
kumbe mama zenu ndo huwa wanawashauri mkatae mimba!!!!
 
another new experience
kumbe mama zenu ndo huwa wanawashauri mkatae mimba!!!!

Wamama wengi wapo hivyo(unless wawe wameshamkubali au wameshamtambua na kumuamini mwanamke kabla), mara nyingi husema subiri mtoto azaliwe tukamtazame kwanza.
Kuna mshkaji mmoja alimbishia mama yake, akakubali mimba,mtoto alivyozaliwa mama yake akaenda kumtazama mtoto akamwambia mshkaji mtoto yule sio wako, jamaa akawa mbishi. Siku moja jamaa kaenda kumchukua mtoto(baada ya mwaka mmoja) kaenda nae home kwao, mama yake akaanza kugomba, nimekwambia mtoto sio wako bado tu hunisikilizi. Mama akamchukua mshkaji na mtoto akawapeleka kucheki dna kama zina match. Baada ya siku chache majibu kuja yanaonyesha mshkaji uwezekano wa yeye kuwa biological father wa yule mtoto ni finyu mno, hivyo mtoto sio wake.
Mshkaji anampigia demu kumwambia matokeo ya dna test, demu anaanza kumgombeza mshkaji, si nilikukataza mambo ya dna kwa nini umeenda kucheki, ina maana huniamini, mwanaume gani hajiamini, inatakiwa ujiamini, kwanza mlete huyo mtoto na unieleze ni kwa nini umeenda kucheck dna.
 
hiyo ni kweli kbs kuna wanaume washenzi sana dunia hii, afadhali umewapa zao za ukweli jmn badilikeni bs
 
hii inafanyika hapa Tanzania???
 
wanaume wachache sana siku hizi, wengi ni wa kiume tu. Wanaogopaje maisha? mwanaume haswa mwanaume anatake all the necessary precaution asimpe mimba mwanamke ambaye hana mpango naye, akifanya hilo kosa kama kweli ni mwanaume lazima atake responsibility kwa kutokutumia akili vizuri siyo anakataa.

Utasikia aaah!yule mwanamke siyo wa kuoa kabisaaaaa!KHAAAAA!Sasa ulisex naye vipi tena bila precautions??huyohuyo ndo wako!!!
 
Principal yangu ya msingi kabisa kabla sijatoka kwenda kupata castle laits zangu ni kuhakikisha kwamba so far madogo hawana tatilo lolote lililondani ya uwezo wangu kulitatua,of course wa kwanza ni wife sababu hata mshiko wa kunywea lazima autoe yeye.kwa hiyo katika swala la kusimamia familia yangu kwa kweli niko safi.
 

Seconded
 
hili nalo swali zuri sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…