Kwenu wanaume wenzangu wooote!!


We lara 1 mbona hiyo ya 1 na ya 3 zinapingana vile...
 
kuna ukweli fulani ndani yake ila ni scenario mojawapo ktk maisha.....kwa yule itamtokea hivyo kwa mwingine mimba ikiingia wanaanza vikao vya harusi,...Pole yake
 
Nimekupendaje kwa maneno yako?????Kuna bazazi mmoja natamaaaani ningejua ID yake humu jamani mwee!!Kaoa juzi juzi tu hapa, kamzalisha mtoto wa watu afu ati sio chaguo lake, kha!!!!!Wanaume wenye tabia hii kweli ni janga kwa taifa letu!
 
pole bwana, najua inapokuwa ngumu kulea mtoto ukizingatia upo na mdogo wako umsomeshe alafu mtu anatia mimba.. pole kwa kulea...
 
Mimi nilimmimba alafu akanikimbia...nitalalamikia wapi bwana revocatus kashego!??
 
Last edited by a moderator:
mi siwalaumu wanaume nyie there a saying goes like this"a man can sleep with even 100 women and love non . asa kama ndo hivyo when a man sleep with a woman mostly they intend it for tension release, having fun they don't intend to impregnant any asa kazi kwa akina dada wanaojitegesha mimba wakati jimbo halina mgombea
 

Kaka kumbe hata huku huwa unakatizaaa eeehhh.. Nimekupendajeeeee! Hebu njoo PM nikupe zawadi yako!!!
 
waambie tu jamani hao waongo liwaguse hehe
 

Wanawake mtaendelea kuangukia pua, kwa sababu watu wanaotaka kuwaoa kweli hamuwataki, na wale wanaowadanganya ndio mnaowakubali.

Sasa na sie wanaume siku hizi tumeamua kuja na gear za uongo! Kuna jamaa yangu aliniambia mwanamke ukimwambia ukweli haumpati ng'o, ila ukimdanganya anakubali fasta! This has been tested and worked for decades! Amini usiamini!
 
Watoto wenyewe ndo tatizo, wanapenda kula gud time na kutoa mtandao wa bei nafuu..!
 
^^
Hapo no 1
Wapo tunaoaminika lakini kwa kuwa kutoaminiana kumezidi,,tumepakwa jivu tu hatuonekani.
Hapo no 2
Kama mimba umepata usiitoe kwa kisingizio cha kukosa matunzo ya baba wa mtoto.Tenda fadhila kwa kutimiza agizo la Mungu.
^^

Kwanini upate mimba?
 
Mbaya zaidi mtoto akikua linajitokeza na kudai damu yake,inauma sana sema huwezi fanya lolote coz ukiangalia kweli damu yaani inaumiza sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…