Umemdanganya mtoto wa watu unampenda, akakuamini, akasahau hadi tarehe akaona zote ni February 32.
Umempa mimba mtoto wa watu mzuri tu, amehenyeka na mimba miezi 9 amekuzalia mtoto..
Ghafla umemtelekeza eti huna plan nae, eti sio chaguo lako, eti mimba ni bahati mbaya tu hukupanga...
Uongo mtupu na ghiliba za nyani mzee. Ulivyokuwa unapewa tunda
bure, unakatika kwa spidi kama umefungwa injini ya boti ya Horsepower 6 ulitegemea nini?
Mbona wanaume tunakuwa migumegume hivi lakini?
Mtoto wako mwenyewe hata hujui anakula nini, anavaa nini.......kweli?
Unatanua na mademu wengine
mwanao hujui anaumwa, katibiwaje, kapona au lah kweli?
Mngefungwa uterus japo mkae na mimba wiki 3 kama panya mngejifunza kuacha upuuzi huu.
LEA DAMU YAKO,we si kidume?
Wanaume wa dizaini hii ni aibu kwa taifa. Ukijifanya Fundi wa kukatika kama Fally Ipupa uwe pia fundi wa kulea!
Ukichukia Poa tu lakini mi nimemaliza.
he he he he chineke!!
Wape wape wape hao kwa kuongezea kajifungua hata pampers hajui inauzwa sh ngapi akishafikisha miaka 3.
Atajitia kumdai mtoto na kujisifia kwa watu'mke wangu ana photocopy machine chini huoni mtoto huulizi kama mimi ni baba yake'
THENKIU SOO MACHI MDAU!!!!!!!!!!!!!!
Ladies this calls for some serious ATTENTION and RELAUNCHING!!!!!!!!!!!!!! Its time you re-invest yourself.
WANAWAKE WENZANGU
1.Never ever trust a man! Mtu unaambiwa baba ndo Mungu wako 2 wa duniani, afu mungu huyo muwakilishi wa duniani unaemuona kakukataa, wengine wapo kiushahidi tu. wengine ndo vile maza kinganganizi lasivo ....... are you still believing????? Dont even try to relate Our mighty father in heaven with these excuse of fathers of this world! Trust me if you think critically the church wont see ya sorry a.ss for a longtime.
2.Usizae kumtegemea mtu! Utapaukaje sasa? Afu its very selfish of you kumleta mtu duniani afu hujui utamuwezeshaje aishi comfortably? I dont know abt u guys but for me it being over selfish.
3.Pray harder mpate watu mliopangiwa na Mola! I have stopped believing in Husband sent from the above for u since ages ago! And i seriously dont believ an excuse of a husband/man can ever change! A leopard can change its sport but certainly not spots!!!!!!!!!!!! Not to mention mtoto wa nyoka ni ...........!!!!!!!!!! (You dont have to agree with me they say IF U BELIEVE ANYTHING CAN HAPPEN!)
Ni kweli Revocatus Kashaga, ni vyema kuheshimu hisia za watu wengine na mapenzi yao kwetu na siyo kumweleza mtu kuwa unampenda na kumfanya akupende halafu baadaye unamtelekeza, ni jambo baya lisilo la kibinaadamu! Hapo penye nyeusi nilistuka nikafikiri umenitaja, lohhhh!
Nimekuelewa ulikuwa una maanisha engine ya boti yenye HorsePower 6, haya majina yetu haya yanayofanana na engine za boti, yanaweza kukuumbua!!!hahaa pole sana bwana HorsePower sikutaka kukutaja