Habari ndugu wote wa jf nawasalimia
Mapambano bado yanaendelea yaani mpaka tone la mwisho la juhudi katika kuhakikisha mambo yanaenda
Wakuu naomba kwa mwenye mawasiliano hasa emails za
Harmonize
Alikiba
Rayvanny
Young killer
Na wadau wengine wanaojishughulisha na harakati za muziki bila kusahau producers anitumie PM
Natanguliza shukrani za dhati kwenu